4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hilo sio agizo nimepewa na BwanaKama una ujumbe wao, wafikishie kwenye DM zao... Utakuwa umetimiza wajibu wako, kazi ibaki kwao.
Sina ujumbe wa kupongeza ,bali ninao ujumbe toka kwa Bwana, wao ndo watajua ni wa kupongeza au laWasaidizi wake ni ngumu kukukubalia.labda kama unaujumbe wa kumpongeza Kwa kazi NZURI hapo wanaweza kukukubalia au utume ujumbe kule X zamani twitter
Mwambie huyo aliye kutuma akuhakikishie huta tekwa.Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya
Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k
Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .
Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa sitaki, kama alivyosema yule ( lijasusi la mbinguni) na hapa ndo mtiani ulipo.
Nataka kutana nao live wote top 3 kwa siku moja .
Hawataki, shauri zao.
Nataka wanihakikishie sitotekwa na kuuwawa.
Thanks
Sina acc kule xWasaidizi wake ni ngumu kukukubalia.labda kama unaujumbe wa kumpongeza Kwa kazi NZURI hapo wanaweza kukukubalia au utume ujumbe kule X zamani twitter
Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake, hakumuumba akengeuke , kukengeuka na kufanya mahovu ni binadamu mwenyewe lingana na mazingira yake kama alivyo shetani.Mwambie huyo aliye kutuma akuhakikishie huta tekwa.
Au kama ni ngumu mwenye ujumbe awapelekee yeye moja kwa moja kwao bila kupitia kwa mwingine.
Andika jina lako halisi, weka na contacts info.. Sasa hivi uatatimiza adhma yako.Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya
Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k
Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .
Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa sitaki, kama alivyosema yule ( lijasusi la mbinguni) na hapa ndo mtiani ulipo.
Nataka kutana nao live wote top 3 kwa siku moja .
Hawataki, shauri zao.
Nataka wanihakikishie sitotekwa na kuuwawa.
Thanks
Jina langu si ndo hilo 4 7 mbatizaji, nenda nida utalijua kwamba ndo hilo ,no yangu yasimu yahusu nini? wataikuta pale , je kukutana na top 3 yanakuhusu nini , shida machawa mpo na uPumbavuuuuuuuuuAndika jina lako halisi, weka na contacts info.. Sasa hivi uatatimiza adhma yako.
Zingatia mada acha u ,pumbavu uuuuuuuuuuuuuUmeshakutana na Heche Tayari??
Pole sana kwa mihemkoJina langu si ndo hilo 4 7 mbatizaji, nenda nida utalijua kwamba ndo hilo ,no yangu yasimu yahusu nini? wataikuta pale , je kukutana na top 3 yanakuhusu nini , shida machawa mpo na uPumbavuuuuuuuuu
Kama Heche umeshindwa Namba 1, 2 na 3 huko hakufikiki kirahisiZingatia mada acha u ,pumbavu uuuuuuuuuuuuu
Kwa Wasira tu illa kama wapo pale kwa ridhaa ya wananchi nitafika ,kama sivyo sitofika ,pumbavuKama Heche umeshindwa Namba 1, 2 na 3 huko hakufikiki kirahisi