Raby Kilua
Senior Member
- Jul 12, 2013
- 128
- 23
RABI wangoje wajuzi wa hayo mambo waje wengi humu jf ni wababaishaji..porojo za mdomoni nyingi kuliko kumbe hakuba lolote kichwani...wanajifanya gr8 thinkers kumbe ni gr8 sinkersHabari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?
inaonekana kuwa pia ulifaulu kwa kubahatisha kwani nina wasi wasi na kiwango chako cha ufaulu na kama ulimpita mulugo /tamimu basi ni kidogo sana.
kwa hisani ya "tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbawe" kwikwikwikwiwkiwiwiiii
Kama umeshapata nafasi nenda kareport then uandike barua ya kuahirisha mwaka hapo chuoni kwa kuandika sababu yenye mshiko. Mwakani hiyo nafasi inaweza kuota mbawa mkuu then ukajilaumu maisha yako yote. Hope utafanya hivi ni njia rahisi na yenye uhakika zaidi.
Asante Sana Mkuu Tamatheo .. Vp na kule bodi watanielewa?
kwani umechaguliwa chuo gani? na kozi gani? ili mawazo yaweze kuwa mapana zaidi.!
Hata mimi nimepangwa pale Duce BAED lakini nitavusha Mwaka.. Hii ni kwa sababu za kifamilia
me nakushauri usubiri kwanza loanboard ili kufanya hitimisho iwe rahisi
Sasa mkuu ikitokea loanbody wamenipa mkopo Vizuri tu na mim nataka vusha mwaka kwa matatizo ya kifamilia..
inaonekana kuwa pia ulifaulu kwa kubahatisha kwani nina wasi wasi na kiwango chako cha ufaulu na kama ulimpita mulugo /tamimu basi ni kidogo sana.
kwa hisani ya "tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe" kwikwikwikwiwkiwiwiiii
Hata mimi nimepangwa pale Duce BAED lakini nitavusha Mwaka.. Hii ni kwa sababu za kifamilia
Vip mkuu unauhakika gani kama una mkopo
Mimi nataka kuvusha kwa kua sina certificate ya form 6..
kwan unapoint ngap?
Nina point 6