Nataka Kuvusha Mwaka Wa Masomo

Nataka Kuvusha Mwaka Wa Masomo

Raby Kilua

Senior Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
128
Reaction score
23
Habari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?
 
inaonekana kuwa pia ulifaulu kwa kubahatisha kwani nina wasi wasi na kiwango chako cha ufaulu na kama ulimpita mulugo /tamimu basi ni kidogo sana.
kwa hisani ya "tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe" kwikwikwikwiwkiwiwiiii
 
RABI wangoje wajuzi wa hayo mambo waje wengi humu jf ni wababaishaji..porojo za mdomoni nyingi kuliko kumbe hakuba lolote kichwani...wanajifanya gr8 thinkers kumbe ni gr8 sinkers
 
Last edited by a moderator:
inaonekana kuwa pia ulifaulu kwa kubahatisha kwani nina wasi wasi na kiwango chako cha ufaulu na kama ulimpita mulugo /tamimu basi ni kidogo sana.
kwa hisani ya "tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbawe" kwikwikwikwiwkiwiwiiii

Mkuu nikweli sikufaulu saaaana.. Ila kuna Mambo nataka niweke sawa kwanza.. Halafu Najiona nimekurupuka sana kujaza mambo bila kupata ushauri kutoka kwa wajuzi wa mambo hayo
 
Kama umeshapata nafasi nenda kareport then uandike barua ya kuahirisha mwaka hapo chuoni kwa kuandika sababu yenye mshiko. Mwakani hiyo nafasi inaweza kuota mbawa mkuu then ukajilaumu maisha yako yote. Hope utafanya hivi ni njia rahisi na yenye uhakika zaidi.
 
Asante Sana Mkuu Tamatheo .. Vp na kule bodi watanielewa?
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimepangwa pale Duce BAED lakini nitavusha Mwaka.. Hii ni kwa sababu za kifamilia
 
Sasa mkuu ikitokea loanbody wamenipa mkopo Vizuri tu na mim nataka vusha mwaka kwa matatizo ya kifamilia..

inawezekana tu ukaomba tena na mwaka unaofuata sababu vigezo unavyo vinavyohitajika
 
inaonekana kuwa pia ulifaulu kwa kubahatisha kwani nina wasi wasi na kiwango chako cha ufaulu na kama ulimpita mulugo /tamimu basi ni kidogo sana.
kwa hisani ya "tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe" kwikwikwikwiwkiwiwiiii

Ndo ushauri huo uliompa au .Mijitu mingne bhana ovyooo
 
Mimi nataka kuvusha kwa kua sina certificate ya form 6..
 
Back
Top Bottom