Nataka kuwa baba watoto Lakini siyo mume

Kama unataka uwe baba watoto ila hutaki mke Hapo inabidi ubebeshwe mimba wewe
 
Watoto wanahitaji maelezi ya baba na mama
Siyo kweli. Tusikaririshwe.
1. Hitler alilelewa na mamake tu.
2. Magufuli alilielewa na mamake tu. Maana mhutu aliyempa mimba mamake hakuwahi kuishi naye.
3. Mandela umeisoma historia yake. Kama bado ingia Google.
4. Diamond kalelewa na mamake tu.
5.n.k

Mkuu orodha ni ndefu sana usinichoshe
 
Kaka unaakili sanaaaaa. Nashauri serikali ukuchukue ikufanyie operation walau watoe kidogo wagawie wale wazee wa ma V8.
 
 
Ukimwi upo na unaua,maana kama ni watoto kwa hiyo condom hazitumiki
 
Kazi kweli kweli, wezetu huko duniani wanabuni vi2 vya msingi, Sisi huku muda wote tunawaza mapenzi
 
Lakini ninyi kataa ndoa mbona huwa mna makasiriko hivyo tatizo ninini? Hamuwezi kuongea taratibu? Hapo mwisho nimecheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama hawataki wakafie mbele!!!
 
Upinde unakumendea kijana
 
Aisee kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…