Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Wewe mwenyewe umesema kuwa ni side chick

Side chick ni malaya

Au nakosea?

Wapi wanasema side chick ni malaya

Ngoja kwanza wewe si una mwanamke wako labda mpo serious ukatamani mwanamke mwingine mkawa na mahusiano uko nae na hujamwambia Kama una mtu sasa utamwitaje dada wa watu malaya

Namaanisha nimeingia kwenye mahusiano na mtu katikati ya mahusiano nikagundua kuwa huyo mwanaume ana mwanamke mwinginee kabla yangu sasa hapo Nafasi yangu si nitajihesabia mimi kanifanya mchepuko wake

Sijajua malaya inatokea wapi mkuu au Mimi ndio sijui definition ya side chick
 

[emoji2][emoji2][emoji2]wewe jamaa
 
Nyenyekea
Mfaham ye anataka nini pia ni vitu gani ambavyo hua hataki...
Uwe unajishusha sana kwake pia pendelea kumsifia na kumpongeza pare anapofanya jambo zuri bira kujari kafanya kwa jamii au kakufanyia wewe

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja ninyenyekee mkuu hata akienda kwa bebi wake??
 
Hao wanaume wote si huwa mnakuwa na mahusiano ya kingono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…