Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,223
- 5,323
Mwaisa usiwaponze dada zangu huyu jamaa atakuwa na kasoro lazima wanaume kamili hatupo hivyoNenda tukuyu hapo wamejaa
Mwaisa usiwaponze dada zangu huyu jamaa atakuwa na kasoro lazima wanaume kamili hatupo hivyoNenda tukuyu hapo wamejaa
Kyela vipi? Jaribu pande hizo.Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
Hatari tupuHahahaha!
vyeusi tiiiiii vilivyo dumaa pia...ila vipoNjombe Kuna vitu??
kila la heri unataka uoe mnyakyusa au wasukumaNataka niende j5