DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
YeahAcha ujinga piga kazi mzee huna pesa kwasababu ya uvivu
Inawezekana Mkuu, anza kwa kunywa mkojo wako wa kwanza Kila siku asubuhi Kwa siku 30 huku ukinuia maneno ya kimwita Shetani maishani mwako. Baada ya hapo utajiliwa na Shetani kwa hatua zaidi.Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.
Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Unaongea kweli toka moyoniAsalaam alaykum.

Mwamba hawa madogo ni wakaksi na wasanii wa mwendokasi ..Mtafute facebook kijana mmoja yupo mwanza anajiita Don shafii kama sijakosea huyo hela anajaza kwenye madiaba..pia mcheki chief godlove kwa ajili ya jicho la tatu lenye kufungua pesa[emoji1787]
Acha tu mwamba ..naumia sanaUnaongea kweli toka moyoni
Nipatie namba yakoUnaongea kweli toka moyoni
Sawa mwamba ngoja nichek hio njia tuone mim sina tatizo hata akitokea hapa nilipoInawezekana Mkuu, anza kwa kunywa mkojo wako wa kwanza Kila siku asubuhi Kwa siku 30 huku ukinuia maneno ya kimwita Shetani maishani mwako. Baada ya hapo utajiliwa na Shetani kwa hatua zaidi.
Njoo inbox mwambaNipatie namba yako
ujinga ni kukubali kua masikini ,pole sana mwamba najua na wewe ni maskin mwenzangu ndio mana una hasila mda wote hata ulichoandika yaonesha hivyoUjinga
Ungesema una plan zaidi ya kutegemea majini ningekuelewa, Tanzania yenyewe ina matajiri ila tunaitwa nchi maskiniujinga ni kukubali kua masikini ,pole sana mwamba najua na wewe ni maskin mwenzangu ndio mana una hasila mda wote hata ulichoandika yaonesha hivyo
Hiri swara la kuvuriwa ubingwa siriamini kabisa ni kauri tu za kejeri zinazotoka kwa maskin wenzangu wario na hasira za kimaishaIyo ishu ipo kweli mali za majini lakin kwa ss shart kubwa mpk wakufire ka uko tyr nikupeleke kwa hao waganga yaan kila utakapopigwa pipe utajiri unazid kuongezeka wako sehem inaitwa ngende huko kusini
Napia mwamba pamoja na yote ninachomupendea huyo godlove ni kwamba anauchukia umasikini sana yan kifup ameulaani na ndivyo inavyotakiwa haupend na ndio mana wakat mwingine anatutukana na kutukejel sisi masikini iri tupate hasira ya kutafuta pesa ,Mtafute facebook kijana mmoja yupo mwanza anajiita Don shafii kama sijakosea huyo hela anajaza kwenye madiaba..pia mcheki chief godlove kwa ajili ya jicho la tatu lenye kufungua pesa[emoji1787]
Fanya kazi, wacha ndoto za kijinga, hata jinni anaweka mtaji wa pesa zake kwa mtu anayezifanyia kazi, hampi mtu asiyezifanyia kazi.Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.
Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Utajiri ni issue sensitive sana kama huamini fuatilia vitabu vya habibu hapa JF.Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.
Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Wasiliana na chief godlove 🤣Nisaidie konekshen ndugu
Mwamba mimi nimeshajitoa mwamba..kuna nyimbo fulan ya kijana huyu anapendwa sana diamond, ikipigwa, waifu hua anakimbilia chumban kulia..kwanza apa enyewe nina baraka zote za waifu ..Utajiri ni issue sensitive sana kama huamini fuatilia vitabu vya habibu hapa JF.