Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

Kuna kipindi nilikuwa na hali kama ya kwako lkn baada ya kugundua kuwa Mungu kama hajapanga utoboe hata ukienda kwa waganga huwez toboa mzee chakufanya muombe Mungu akuoneshe njia ya mafanikio kisha piga kazi amin kuna siku utatoboa .
 
Kazi za kufagia barabara zina hela???? Au nnaowaonaga wale wanaigiza
 
Mkuu sasa unatwambia sisi ili iweje.we kua tu. Ata ukitaka kuwa tajiri namba moja duniani we kua tu .kuna mtu kakuzuia?. Ata kesho amka ukiwa tajiri wa kwanza tanzania. Hamna anayekuzuia. Ni kua tu.
 
Mkuu sasa unatwambia sisi ili iweje.we kua tu. Ata ukitaka kuwa tajiri namba moja duniani we kua tu .kuna mtu kakuzuia?. Ata kesho amka ukiwa tajiri wa kwanza tanzania. Hamna anayekuzuia. Ni kua tu.
Shida maskin mwenzang usiwe na hasira tutafute hera
 
Nataka kuwa mwalimu mkuu, lakini nachukia kufundisha
 
Achana na mambo ya majini na illegal issues.
Hata kama huna hata Mia mbovu unayo nafasi kubwa Tu ya kuwa millionaire mkuu .
Kuna fursa jitahidi Uje ofisini KIJITONYAMA MWANGA tower GHOROFA YA TATU, Ofisi inaitwa IREV. Husikilize Kwa makini then uone Kwa namna gani unaweza ukaijenga Njia yako. Au nitafute whatsup nikupe link YouTube uangalie Huo mchongo atleast utapata kuielewa. Mungu Ni mwema.
 
Nimegundua tatizo lako sio pesa bali wewe unachotaka ni kuheshimiwa, kutukuzwa hata kama hauna shilingi mfukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…