pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
- #61
Namkubali sana chiefgodlove , ni musanii ila anauchukia umaskini sana ndio mana hua anatutukana sis masikini iri atupe hasiraWasiliana na chief godlove [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana chiefgodlove , ni musanii ila anauchukia umaskini sana ndio mana hua anatutukana sis masikini iri atupe hasiraWasiliana na chief godlove [emoji1787]
Kila rakheri Ukifanikiwa usisahau kuleta mrejeshoAsalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.
Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Kuwaza njia za mkato utaishia pagumu na kudhalilika zaidi.Asalaam alaykum.

Mwamba ujawai kupata shida wewe. Emmbu ukae kimya tu..waone tu watu wanapita tu barabarani huko na wewe pita uende kwako tu utulie kimyaKuwaza njia za mkato utaishia pagumu na kudhalilika zaidi.
shukurani mwambaKila rakheri Ukifanikiwa usisahau kuleta mrejesho
Una umri gani mtoa MADAAsalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu.
Sitaki kuwa maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Nyie ndio mnasababisha bangi inakatazwa.Asalaam alaykum.

Asalaam alaykum.

Hii ngoma ishakua shida mtafute chief yule 🤣🤣Asalaam alaykum.

Ushaambiwa unyonge ndo raha kua proud jombaaaAsalaam alaykum.

Bangi inakusaidia nini mlalahoi mwenzangu ..bangi inavutwa na matajiri akina snup dog.Nyie ndio mnasababisha bangi inakatazwa.
Dogo siwezi mtafuta mana namujua usanii wake ila ananipa motisha sana ya kutafuta pesaHii ngoma ishakua shida mtafute chief yule [emoji1787][emoji1787]
Tunaomba ujazie jazie NYAMA kwenye hii pointAcha kukata tamaa, shida sisi vijana tunakata tamaa. Tafuta riziki ya halali.
Shida vijana tupata fedha tunaenda kuhonga Malaya, Kunywa pombe, kuvuta bagi na sigara unadhani ukifanya hivyo utafanikiwa ?? Jibu ni hapana huwezi kufanikiwa.
Vijana wana degree hawawezi kufanya kazi za aibu eti kisa wanaona aibu watachekwa huo ni ushamba.
Ngoja nikupe Stori yangu Fupi ambayo itakupa Fundisho.
Mimi ni Kijana wa Makao, nimezaliwa mwanzoni mwa mwaka 1997, katika kukua kwangu nimepitia changamoto nyingi sana.
Nimezaliwa Kahama Vijijin - Shinyanga, nimehitimu katika shule bora kabisa kahama enzi hizo shule hiyo ilikuwa inakimbiza sana, inaitwa MHONGOLO PROGRESSIVE SEC. SHOOL 2011 - 2014.
Mwaka 2015 nilienda Advance mkoani Kagera katika combination ya PCB, mwaka 2016 nikavunjika mkono wa upande wa kulia ambao do mkono natumia kuandika. Nilihagaika sana na mkono wangu huu takribani miezi 4.
Mwaka 2017 May nikafanya mtihani wa ACSE matokeo yakatoka nikawa na ufaulu wa Division 1 ya point 9.
Mwaka 2017 Sept. Nilihitimu mafunzo yangu ya JKT katika kambi mama hapa Tanzania (821 BULOMBORA JKT)
Mwaka 2017 Nov. Nikajiunga na chuo kikuu katika course of Bachelor in Computer Science, daah kiukweli Fani hii sikuipenda hata kidogo sababu ndoto zangu zilikuwa siku moja niwe Daktari niwahudumie na kuwatibu watanzania wenzangu, hivyo basi nilisoma ilimradi tu na wakati huo nilikuwa na mkono wangu mbovu ulikuwa unanisumbua sana.
Kipindi niko chuo nilipata BUMU tu, ila ADA nilikuwa nalipiwa na mzee, nashukuru mzee wetu ametusomesha watoto wake wote Mungu amubarikiiii sana, alijinyima sana na akauza ng'ombe wake sisi tukaenda shule.
Mwaka 2019 Nilipitia changamoto kubwa sana sitoisahau maishani mwangu, Nilitapeliwa hela na MKINGA Mmoja wa Makete Kama ml 4 ivi (hela ya bumu ya mwaka wa kwanza na wapili + ada), kidogo ni disco chuo, Mungu tu do alinipambania nikaendelea na chuo tena.
Mwaka 2020 nikamaliza chuo kikuu, huo huo mwaka nikasema sirudi nyumbani, nyumbani kuna kila kitu kuna mashamba ya maelfu ya mahekali na mifugo wa mamia na mamia, ila nilisema na nilikuwa nimejiwekea malengo yangu natafta mali yangu mwenyewe hata kama ni kidogo na sikurudi nyumbani sababu nilimkosea baba yangu, kosa lenyewe ni kutapeliwa hela ya ADA.
Mwaka 2020 Oct kipindi cha uchanguzi wa Magufuli nilipata Kibarua cha Kusoma Mita za Maji katika Mamlaka ya Majasafi na usafi wa Mazingira Mkoa X ni mamlaka kubwa sana Nchini.
Katika kibarua changu cha kusoma mita nikiwa napita mtaani daaah nilikuwa nadharauliwa kinoma, watu waliokuwa wananidharau asilimia kubwa ni wanachuo, na vijana wa mtaani, hawakujua mimi kila mwezi nilikuwa napata Milioni 1 (1,000,000) na hawakujua mimi nina elimu kubwa na nzuri, na pia hawakujua nimetoka Familia inayojiweza na kubwa tu.
Mimi katika maisha yangu huwa najifanya masikini au kujifanya mtu wa level ya chini kupitia kufanya hivo huwa naona kila aina ya tabia za watu.
Nimefanya kazi ya usomaji wa mita miaka 3, toka mwaka 2020 hadi 2023 na nilifanikisha ku save zaidi ya Milioni 15.
Mwaka 2022 July nikaoa Mke wangu wa Kibena kutoka Kidengyembe Mkoani Njombe, namshukuru Mungu na kwa rehema na baraka zake saizi nina katoto kamoja.
Mwaka 2023 August nikapata Ajira serikalini katika idara ya Tehama & Takwimu tena bonge la Taasisi kwa mshahara mkubwa namshukuru Mungu nina maisha yangu, ninakula ninachotaka.
Watu walionidharau leo hii wakiniona daah huwa nawaacha midomo wazi kwa kweli. Yule ambaye nilikuwa msomaji wa Mita za Maji leo hii nahudhuria vikao vya Wizarani.
Nimejifunza mambo Mengi sana katika maisha.
1. Maishani lanzima tuwe na subira
2. Maishani usimdharau mtu
3. Maishani lanzima uwe mwaminifu haswa makazini huko.
4. Mungu yupo na ukimuomba hutoa
Pia nimejifunza kwenye maisha haya baraka zinapitia kwa watu, Mungu alichokubariki jitaidi sana Kutoa SADAKA, siyo sadaka ya kanisani, Jitaidi sana kusaidia watu ambao hawajiwezi, saidia wazee, saidia yatima.
Narudi kwako mtoa maaada, usiende kwa waganga ili upate mali ya Haraka utakufa siku ambazo sio zako, utaishi maisha ya ajabu na yashida sanaa.
Fanyakazi ukiwa na tumaini kwamba ipo siku moja utafanikiwa tuu, kudharauliwa maisha haikupunguzii kitu.
Fanyakazi kwa Malengo, usiige watu, upe moyo wako ahadi kuwa ipo siku moja utafanikiwa.
Pambana pambana, kama umeona maisha hayaendi, gubali kurudi kijijini, nakupa baadhi ya Maeneo ambayo ukitoa aibu unafanikiwa.
Nenda:
Kahama, Mafinga, Katoro, Tunduma, Makambako, Pawaga, Ilula, Songea, Katavi.
Acha kabisa kukataa tamaa.
Usiogope kudharauliwa.
Maisha ni kutafta na sio kutaftana.
Epuka sana makundi, wanawake, pombe, sigara, bagi n.k
Kesho yako ni bora endelea kupambana.
unyonge ni kifo jombaa kama huamini muulize dogo aliyemuoa zari yule bidada wa ug kirichomukuta, kama huna hera wewe ni sifuri.Ushaambiwa unyonge ndo raha kua proud jombaaa
Acha yalie tu , ila muhim pesa jomba
Acha kukata tamaa, shida sisi vijana tunakata tamaa. Tafuta riziki ya halali.

Kwa heshma na taazima, kwanza wewe ni mdogo wangu aise, 1997 kati ya wadog zangu saba, wewe ni wa sita labda kama sio wa mwisho,
La pili, mim umri huu sijui mana ya kuhonga maraya, kunywa pombe, kuvuta bangi na sigala..
Kingine hio digirii sina, kwaio mim napiga kazi yoyte na nimekua nafanya hivyo miaka yote..kwwnza nawatetea hata wenye digrii sio wote unaweza kutoa maamuz kua wanazarau kaz, wewe kutochagua kaz sio kigezo cha kuona wemgine wnachagua kaz, halaf huez kua na hali ngum ya kimaisha eti isababishwe na kuhonga maraya , hizo za kuhongea unapata wapi , ukishaanza au kuweza kuhonga maraya wewe basi hauna shida, wewe una pesa..
La mwisho sio kira njia uliyopita na wngine waipitie, naona umeelezea gazet refu , wewe hauna shida jombaa na hujawah pata shida ila ni maoni yako pengine yatamsaidia mwingine