Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
na nyama nyeupe bado zinakuathiri mkuu?Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
Na mimi naona hilo, unaweza kudhani kuwa vegetarian ni cheap, ila sehemu nyingi ni gharama.Mazingirq ndiyo yanachochea zaidi kuwa vegetarian ukiwa mazingira ambayo yana kuoffer kile unachotaka kukibadilisha basi ni rahis, mfno n ngumu kuwa vegetarain ukiwa arusha ni ngumu kwa sababu ni ghali kupata unachostahili kula
Hizo hazinidhuru. Nimeamua tu kuacha zote, naona hata uwezo wa tumbo langu kumeng'enya vitu vizito umepungua sana.na nyama nyeupe bado zinakuathiri mkuu?
Anhaa pole, hamia sasa kwa majani, matunda na carbsHizo hazinidhuru. Nimeamua tu kuacha zote, naona hata uwezo wa tumbo langu kumeng'enya vitu vizito umepungua sana.
Uhalisia ni kwamba vegetarania n gharama sana kuliko unavyofikiri, maana usipopata mlo kamili itakugharimu kiafya pia, (mlo kamili unatokana pia kwenye jamii ya chakula vya mboga mboga) hata ulaji wake ni tofauti sana na ulaji wa kawaida. Lkn faida zake ni kubwa sana kwa afya ya sasa na yabaadaye. Kila la heriNa mimi naona hilo, unaweza kudhani kuwa vegetarian ni cheap, ila sehemu nyingi ni gharama.