sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Weka mchanganuo vizur ili uweze kumsadia na c majungu tu, sijui tunafel wap aiseeSasa hiyo TZS 20 million ukitoa ticket na malazi unabakiwa na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka mchanganuo vizur ili uweze kumsadia na c majungu tu, sijui tunafel wap aiseeSasa hiyo TZS 20 million ukitoa ticket na malazi unabakiwa na nini?
Weka mchanganuo vizur ili uweze kumsadia na c majungu tu, sijui tunafel wap aisee
Sasa akienda k/koo kwa wauza ana 15m na anapata faida kwa nini asiende Duabi aate faida zaidi....Ushauru wako unakinzana wenyewe kwa wenyewe20m ndo uende Dubai au china?
au unataka kwenda kutembea?
simu aina gani? kama unanua smart phone za laki mbili 20 unanunua simu ngapi?
una duka atayari au ununue ndo uanze tembeza?
Binafsi naona tafuta biashara ingine hapa ya uhakika mtaji hata 15m
5m nenda Dubai katembee ujionee na ujifunze
15 M hata Kkoo kwa wauzaji wa jumla unaweza pata faida
Its best aende mwenyewe huko apate exposureKwanza hongera sana...
Ushauri wangu kwako ni kwamba ungepata agents au wakala mwamimifu wa huko dubai au china akununulie mzigo atume au kama unaweza kuagiza mtandaoni mfano alibaba wanauza simu za jumla kwa bei nzuri mnoo ila unapaswa kuwa makini
NB;mitandaoni napo si salama wahitaji umakini ukiagiza kwa mtandao maana utapeli wizi na vitu feki ni vingi
Pia maagents nao sio waaminifu mimi sifaham hili ila nilimuona faiza aly kule insta akitumia watu mizigo yao kutoka huko china
Una maanisha unaweza kwenda na kurudi china na mzigo kwa 5,000,000 [emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]Watanzania wengi ni watu wawivu mno
1. Nauli kwenda na kurudi: USD 1,200
2. Chakula kwa siku: USD 22
3. Hotel Single Room: USD 50
4. Nauli ya mizunguko town: USD 49
(Taxi+Metro+Daladala)
5. Mzigo wako unaotaka kununua: (Na
hii tukupe jibu?): Minimum USD3,500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaniMbona umeishia tu kutoa pongezi amna la maana uliloandika, kwani mtoa mada kasema ana shida na pongezi
Faiza ni yule demu wa sugu sio?
Yule siwezi muamini hata sekunde.
Usikatishwe tamaa na ndugu zako hapo juu.hiyo 20mil ni pesa ndefu. Wengi wao wanakupigia masimu ya 200k ambayo Kwa ujumla soko lake wewe mwenyewe unalijua, Kwa hicho kiwango ni wastan wa USD 8600. Hata ukisema utenge pesa ya mzigo Tu USD 4500 itatosha kabisa kununua mzigo. Ukisema uchukue headphone, chaja, ni zile accessories nyingine Kwa usd 1000 Tu mzigo utaukimbia mwenyewe.
Kwani ticket namalazi ni itacost kiasi gani
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naipongeza serikali ya awamo ya tano chini ya JPM kwa kutuletea kupatwa kwa jua huku mbeya.
Watu wa type yako hao; nonesense kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishawhi kuwasmbia mods waiboreshe jf waweke option ya sauti ila kuna mbwa mmoja akaropoka akauliza unataka voice note we kasuku?
Mkuu,
Unauza simu pekee au na Accessories?
Dubai kwenda kurud dollar 600 with Flydubai, dola 100 malazi getto kwangu. Andaa dola Mia nyengine ya Usafiri na kula.Nauza simu na accessories
Mkuu kwani akienda kulala hotelini itamgharimu dola ngapi kulala usiku mmoja?Dubai kwenda kurud dollar 600 with Flydubai, dola 100 malazi getto kwangu. Andaa dola Mia nyengine ya Usafiri na kula.
Huku utawaka kwa Mguu. Upo na zaid pm me.
Unatka Mzigo NIAGIZE unataka kuja kuona jangwa linalovutia Karibu.[emoji120][emoji120]View attachment 1208136
Amesema anataka biashara ya simu wewe unamletea story za hiace.Unaweza kununua hiace kwa hiyo pesa, ukiendesha mwenyewe uwezo wa kulaza 80-100 kwa siku unao kwa 100%.
Embu copy link yake iweke hapa tuuzamie huo uziKuna uzi huku umeelezea kila kitu kuhusu kwenda China,mtaji,faida na changamoto zake,vitu gani vya kununua na wakati gani vinakua rahisi huku China kuleta Tanzania. tuombe mods wauunganishe huku