mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Sawa mkuu.No mchek tu akupe a b c
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.No mchek tu akupe a b c
kiongozi hiyo pesa inatosha kabisa.Mimi naongelea China sababu ndio niko na uzoefu nako.Nauli inategemea na season.Ila ni ina range kwenye 700$ hadi 1200$,pia kumbuka tofauti ya siku unayokata ticketi na siku unayotaka kusafiri ina matter kwenye bei.ukikata mapema bei inakuwa nzuri kiasi.Kama unataka smartphone (iphone) nyingi ni bora uende Shenzhen Ila kama ni android nyingi ama unataka kuchanganya android na iphone basi guangzhou itakufaa.Hautanunua simu mpya kabsa (0 km) bali utanunua refubrished phone ambazo huko Tanzania ndio "mpya" hizi utanunua soko lina itwa dashatou.Kuhusu malazi kuna sehemu mbili ambazo ndizo wa afrika wengi (wa Tz) hupenda kukaa. Eneo moja linaitwa sanyuanli kwa metro ni line 2,(hili wengi wanaishi wanaokuja kununua nguo),na eneo la pili linaitwa xiaobei metro line 5(hapa kulitokea kashkash before ndo wengi wakakimbilia sanyuali).Bei huwa inaanza 120 RMB hadi 200 RMB kwa single room(kuna hotel unaweza pata kwa 100 RMB,ila huko foreigners wanaoishi ni wachache.Kama si mtu wa kujichanganya patakufaa.Ni sehemu ambako kuna soko la spare parts za pikipiki.)
Kwa mizuguko ya town kama ukiweza kutumia metro ama kujua namba za basi itakusaidia sana.Kwa basi ni 2RMB tu kwa route.Ila metro inategemeaa na unakoenda.Metro is much easier sababu hakuna traffic jam.Kama unataka accessories kuna soko ukienda kwa metro kituo kinaitwa cultural park utapata unachotaka.Lakini zaidi sana uwe mzoefu wa simu na ujue kuzikagua.Wachina huwa hawaamini hadi ajue wewe ni mtu wa kudumu otherwise unaweza ukanunua simu 50 na ukawa na return 30.
Kuhusu kutuma mizigo unaweza ukaenda nazo mwenyewe around pc 30,hizi ndo wanaruhusu ku board nazo.Ila kama ni nyingi unaweza nunua baadhi ya vitu (kama mikoba ya wadada,unaweka smu ndani na unacheki in mabegi)Otherwise ni watumie watuma mizigo wa huku(wanapatikana sanyuani siku hizi)Wata kucharge 10$ kwa kila simu na utapokea Tz kuanzia siku 2-5 toka uwakabidhi mzigo.
Hope nimekusaidia kiasi
Mkuu hizo RMB sawa na dollar au sawa Tsh kiasi gani.kiongozi hiyo pesa inatosha kabisa.Mimi naongelea China sababu ndio niko na uzoefu nako.Nauli inategemea na season.Ila ni ina range kwenye 700$ hadi 1200$,pia kumbuka tofauti ya siku unayokata ticketi na siku unayotaka kusafiri ina matter kwenye bei.ukikata mapema bei inakuwa nzuri kiasi.Kama unataka smartphone (iphone) nyingi ni bora uende Shenzhen Ila kama ni android nyingi ama unataka kuchanganya android na iphone basi guangzhou itakufaa.Hautanunua simu mpya kabsa (0 km) bali utanunua refubrished phone ambazo huko Tanzania ndio "mpya" hizi utanunua soko lina itwa dashatou.Kuhusu malazi kuna sehemu mbili ambazo ndizo wa afrika wengi (wa Tz) hupenda kukaa. Eneo moja linaitwa sanyuanli kwa metro ni line 2,(hili wengi wanaishi wanaokuja kununua nguo),na eneo la pili linaitwa xiaobei metro line 5(hapa kulitokea kashkash before ndo wengi wakakimbilia sanyuali).Bei huwa inaanza 120 RMB hadi 200 RMB kwa single room(kuna hotel unaweza pata kwa 100 RMB,ila huko foreigners wanaoishi ni wachache.Kama si mtu wa kujichanganya patakufaa.Ni sehemu ambako kuna soko la spare parts za pikipiki.)
Kwa mizuguko ya town kama ukiweza kutumia metro ama kujua namba za basi itakusaidia sana.Kwa basi ni 2RMB tu kwa route.Ila metro inategemeaa na unakoenda.Metro is much easier sababu hakuna traffic jam.Kama unataka accessories kuna soko ukienda kwa metro kituo kinaitwa cultural park utapata unachotaka.Lakini zaidi sana uwe mzoefu wa simu na ujue kuzikagua.Wachina huwa hawaamini hadi ajue wewe ni mtu wa kudumu otherwise unaweza ukanunua simu 50 na ukawa na return 30.
Kuhusu kutuma mizigo unaweza ukaenda nazo mwenyewe around pc 30,hizi ndo wanaruhusu ku board nazo.Ila kama ni nyingi unaweza nunua baadhi ya vitu (kama mikoba ya wadada,unaweka smu ndani na unacheki in mabegi)Otherwise ni watumie watuma mizigo wa huku(wanapatikana sanyuani siku hizi)Wata kucharge 10$ kwa kila simu na utapokea Tz kuanzia siku 2-5 toka uwakabidhi mzigo.
Hope nimekusaidia kiasi
inatosha kabisa na kubaki20m ndo uende Dubai au china?
au unataka kwenda kutembea?
simu aina gani? kama unanua smart phone za laki mbili 20 unanunua simu ngapi?
una duka atayari au ununue ndo uanze tembeza?
Binafsi naona tafuta biashara ingine hapa ya uhakika mtaji hata 15m
5m nenda Dubai katembee ujionee na ujifunze
15 M hata Kkoo kwa wauzaji wa jumla unaweza pata faida
No kila kitu anayo option yeye. Ila kwa Mimi ushaur wangu Dubai is better kuliko China kwa kua anadeal na simu na accessories zke
kuna watu unaweza kuchanga nao na mkaagiza mzigo kwa bei ndgo zaidi huku ukipata mzigo mkubwa kuliko kutumia gharama kubwa kwa ajili ya ndege,malazi,chakula na kadhalika nitafte nikuunganishe 0753041742Mabaharia wafanyabiashara nimepata mpunga kidogo kama 20m kwamara yakwanza nataka kwenda dubai au china kununua simu hasa smartphone
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mliowahi kwenda china au dubai kununua simu au vifaa vyaumeme naomba munieleweshe
1-Gharama zandege kwenda nakurudi
2-Nisehemu ipi nzuri kununulia mzigo kati dubai na china
3 -Kusafiri kutoka dsm hadi china au dubai huwa inachukua mda gani navipi hoteli zakule zabei yakawaida kwamfanya biashara mdogo anayeanza gharama zake zikoje
4 -Utaratibu wakusafilisha mzigo ukoje
Natangiza shukuran kwakuwa naamini mtanipatia maelekezo yakutosha namtanikumbusha na hata niliyoyasahau kwakuwa mimi itakuwa mara ya kwanza kabisa kifupi sijui chochote pia msisahau kuhusu huo mtaji ambao nahitaji kwenda nao itatosha kuanzia au inakuwaje
Mkuu hizo RMB sawa na dollar au sawa Tsh kiasi gani.
Mkuu pia hapo umesema wachina huwa hawaamini mpaka uwe wakudumu other wise unaweza ukanunua 50 return 30 kivip
Naje kwa standard nzuri ya smartphone bei hasa ikoje ya kununua kwa pesa ya kibongo au dollar ngap?
Pia faida zikoje kwa kila smartphones ukija kuuza huku bongo hizo smart kwamfano iphone,samsung
mkuu swala la kodi airport ni unamalizana na jamaa kibingwa.Ama unanunua mikoba ya wadada kama hata 20 hivi,utaweka simu ndani,ukifika TRA utalipia tu mikoba (itakuwa cheap).Ukilipia hawatapitisha mizigo yako kwenye scanner,so simu zitakuwa zimepita bila kulipia.Otherwise ni uwatumie jamaa wanao tuma mizigo toka huku China.Bei zao huwa ni 10$ kwa simu moja.Mkuu kuna swali kuhusu TRA hapo kama ungekuwa unafahamu taratibu zao na kulijibu basi hakika comment yako ingetosheleza na uzi tungeufunga
Tanguliza Kichwaa hapa usipigwekuna watu unaweza kuchanga nao na mkaagiza mzigo kwa bei ndgo zaidi huku ukipata mzigo mkubwa kuliko kutumia gharama kubwa kwa ajili ya ndege,malazi,chakula na kadhalika nitafte nikuunganishe 0753041742
Hili wazo zuri sana na ni mbinu nzuri.Kama ndo unaanza biashara kuwa makini sana na maamuzi ya mwanzo maana ukikosea step pesa yote itazama. Nakupa tu ushauri hiyo 20m igawanye nusu.
Tafuta taarifa sahihi na maagent waaminifu hasa China ili uagize mzigo wa 10m.
Kuna watu wengi sana huagiza mizigo na kufika salama bila tabu kabisa.
Utaona kama kuna mafanikio kifaida katika huu mzigo then nenda mwenyewe, maana hapa utakuwa na detail za kuanzia seller range ya bei n.k na utakuwa na confidence ya kutokupoteza mtaji wako.
Ukiwa mwoga hufanikiwi. Bora uende ukachague wewe.Kama ndo unaanza biashara kuwa makini sana na maamuzi ya mwanzo maana ukikosea step pesa yote itazama. Nakupa tu ushauri hiyo 20m igawanye nusu.
Tafuta taarifa sahihi na maagent waaminifu hasa China ili uagize mzigo wa 10m.
Kuna watu wengi sana huagiza mizigo na kufika salama bila tabu kabisa.
Utaona kama kuna mafanikio kifaida katika huu mzigo then nenda mwenyewe, maana hapa utakuwa na detail za kuanzia seller range ya bei n.k na utakuwa na confidence ya kutokupoteza mtaji wako.
mkuu swala la kodi airport ni unamalizana na jamaa kibingwa.Ama unanunua mikoba ya wadada kama hata 20 hivi,utaweka simu ndani,ukifika TRA utalipia tu mikoba (itakuwa cheap).Ukilipia hawatapitisha mizigo yako kwenye scanner,so simu zitakuwa zimepita bila kulipia.Otherwise ni uwatumie jamaa wanao tuma mizigo toka huku China.Bei zao huwa ni 10$ kwa simu moja.
hope nimekusaidia kiasi
Kiongozi nenda china ndio uwakika. Na pia usikatishwe na hao GT P SALALY. Iyo ni pesa ndefu sana kwa kufanya bznes zako china.
Mm nilitishwa sana mwanzoni mwa mwaka huu kuhusu kufata mzigo flani Dubai hatare mara kwa mtaji huo ni nauli na malazi tu mara kama unaenda kutembea sawa.
Ila baada ya kufika nilicheka sana mambo yako tofauti kabisa. Na kila mfanya bznes kama yangu nilie kutana nae na wazoefu uko Dubai wanasema mbona umekuja na kiasi kingi kwa bznes hii.
Tafta marifa sahihi kisha lianzishe mdau. Pambana tu kiongozi
Hupajui afu una guess guess tu...wabongo mna nini?Sipajui china wala dubai..lkn nahisi china unaweza pata mzigo mzuri. 20m n mtaji mzuri kwa kuagiza mzigo na si kwenda mwenyewe .....punguza garama
Bos sihitaji kulala kwamtu nahitaji kufahamu badhi yagharama kama nilivyoelezaDubai kwenda kurud dollar 600 with Flydubai, dola 100 malazi getto kwangu. Andaa dola Mia nyengine ya Usafiri na kula.
Huku utawaka kwa Mguu. Upo na zaid pm me.
Unatka Mzigo NIAGIZE unataka kuja kuona jangwa linalovutia Karibu.[emoji120][emoji120]View attachment 1208136
Mi naongezea apande ethiopian airline na wakati wa kurudi ashuke nairobi apande basi za dar atasave karibu laki 500.