CalvinKevoo
Member
- Feb 7, 2025
- 43
- 91
Zenji bado uko hapahapa...ndoto za kuishi nje ya nchI
Nasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzunguSawa sasa ndoto za kuishi nje ya nchi ndo uwaze unguja au pemba??fikiria tena sio vibaya.
Kwani kuna ubaguzi uko sanaNchi imekaa kidini ndo unataka kwenda? Wanaojitambua matajiri wanasaka viwanja Bara.
Povu ruksa
Burundi maisha magumu uko kaka nishafikaZenji bado uko hapahapa...
Nje ya nchi, jaribu Burundi....
Kama huna mtu wako, ni bora uende nje ya mji huko ukatafute vibarua
Unaenda kujiuza kwa vibibiπNasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzungu
Mimi ata sijui itakavokuwa vyovyote tu mi nipo tayar kwa ivo vibibi Kama vinatoa maisha powa tuUnaenda kujiuza kwa vibibiπ
Basi usikate tamaa utafikia ndoto zako....Burundi maisha magumu uko kaka nishafika
Aisee sasa hapo mkuu utakwama kama unaenda ukiwa na wazo hilo,,tafuta tu fursa huku huku au nenda Uganda tu.Nasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzungu
Sio rahisi kiasi hichoMimi ata sijui itakavokuwa vyovyote tu mi nipo tayar kwa ivo vibibi Kama vinatoa maisha powa tu
Kweli. Wazungu wako wengi sana kama wewe unaona kupata mzungu ni kubahatika njoo haraka, hawa jamaa hawachagui jinsia, wao wanaoa tuu uwe mwanamke au mwanaume unaolewa vizuri tuu. Njoo ubahatike.Nasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzungu
Sawa ikiwezekana nitafanya pia kikubwa nipate na kazi za kufanya na sio kutegemea kitu kimojaBasi usikate tamaa utafikia ndoto zako....
Huko Zenji itabidi nguvu zako ndio iwe mtaji, kwenye vibarua vya ujenzi.....
πππKweli. Wazungu wako wengi sana kama wewe unaona kupata mzungu njoo haraka, hawa jamaa hawachagui jinsia, wao wanaoa tuu uwe mwanamke au mwanaume unaolewa vizuri tuu. Njoo ubahatike.
Ipo na miaka 4 sasa tangu nikuwe nayo ipo kene kabat tuPassport unayo tuanzie apo kwanza
Hapana kaka Mimi nataka niende uko kwanza cjawah kufika nakuckiaga tu so now nataka nikajionee mwenyewe nimechoka kusimuliwaAisee sasa hapo mkuu utakwama kama unaenda ukiwa na wazo hilo,,tafuta tu fursa huku huku au nenda Uganda tu.
good all the bestHapana kaka Mimi nataka niende uko kwanza cjawah kufika nakuckiaga tu so now nataka nikajionee mwenyewe nimechoka kusimuliwa