Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

jamani nahitaj msaada wa mawazo yenu wana jamii nahitaji kwenda Zanzibar kuishi na kufanya maisha yangu uko je nifikie wapi maana sina ndugu wala rafiki huko na maisha ya huko yapoje?

Msaada wana jamii wenzangu bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kuishi nje ya nchi.
Rout Moja ya bajaji ni elfu hamsini upo hapo,lodge lakimoja kwa siku upo,chakula kikuu urojo na makorokocho ya hovyohovyo,hakuna jipya pale ni promotion tuu, Zanzibar is very unusual place Labda sema tukupe connection uende kuanza na hotel kama unajitolea.
 
Nipo tayar kwa ilo kk nisaidie
 
Mkuu malengo yako yakoje? tungeanzia hapo kwa maana umetarget kazi ya aina gani?
 
jamani nahitaj msaada wa mawazo yenu wana jamii nahitaji kwenda Zanzibar kuishi na kufanya maisha yangu uko je nifikie wapi maana sina ndugu wala rafiki huko na maisha ya huko yapoje?

Msaada wana jamii wenzangu bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kuishi nje ya nchi.
Anzia feri
 
Back
Top Bottom