Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Kwani Bibi wewe si umchukue kijana huyu umpooze au?Unaenda kujiuza kwa vibibiš
Kwani Bibi wewe si umchukue kijana huyu umpooze au?Unaenda kujiuza kwa vibibiš
Angalia usije ukaenda kuolewa tu hukoIpo na miaka 4 sasa tangu nikuwe nayo ipo kene kabat tu
Unakwenda kudanga?Nasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzungu
Anataka akaolewe mwambie atembee na vilainishi vitamsaidia mbele ya safariUnakwenda kudanga?
Nani kasema?Ni rahisi kwenda kuishi marekani kuliko hapo zanzibar.
Nchi yao wanaichunga over.
Kwanini? Islamic state?Mwezi wa mtukufu huu ukikutwa unakula utakula bakora
Kajaribu uone mkuuKwanini? Islamic state?
Huku mboni mahustadhi tunagonga nao Mbosi Katoriki na hakuna anewashikia bakora?Kajaribu uone mkuu
NakuambiaNani kasema?
Mwambie bibiako amchukueKwani Bibi wewe si umchukue kijana huyu umpooze au?
Unasimuliwa nnHapana kaka Mimi nataka niende uko kwanza cjawah kufika nakuckiaga tu so now nataka nikajionee mwenyewe nimechoka kusimuliwa
Aje tu kwa Tanzania hii mm nashaur vijana walioshindwa kutafuta maisha mikoani wasiende dar wavuke maji tuKalaga Baho Nongwa kijana wako huyu šš
Vizee, mabasha na mashoga wapo. Ukitaka mtelezo hapo umefika.Nasikia uko kuna wazungu wengi unaeza kubahatika kupata mzungu
Mm nipo zanzibar son nitachukuwa chumba nianze life karibu mm kuna sehem naishi najipangajamani nahitaj msaada wa mawazo yenu wana jamii nahitaji kwenda Zanzibar kuishi na kufanya maisha yangu uko je nifikie wapi maana sina ndugu wala rafiki huko na maisha ya huko yapoje?
Msaada wana jamii wenzangu bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kuishi nje ya nchi.
SawaTafuta connection au kibarua ndiyo uende huko