Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

UKWELI MCHUNGU SANA HUU
Bana weeeeee maisha popote utakapohisi unaweza kuishi na maisha yakaenda pasipo kumbugudhi mtu yoyote ruksa dunia yote yetu na ndo mana tumepewa na miguu tusigande seehemu moja uchumi tu wa mifukoni ndo inatufanya tusindwe kuruka ughaibuni akini isingekuwa izi sheria za mwanadamu kuziweka bongo kungekuwa hakuna raia
 
Yaani ukisikia zanzibar ujue ni nchi ya waislam huku bars ndio ya mchanganyiko japo waislam walitaka kutuletea ukengee tukadhibiti hali walitaka walete udini na mamila yao yautovu wa nidhamu.

So ukienda huko lazima uwe muislam kanisani unaenda ila kuna hofu yakupigwa au kuripotiwa kwenye vituo vya polisi . CalvinKevoo japo huko ni pazuri kwa biashara za utalii.

Zanzibar nawaogopa sana mie siwezi kuishi nao . Yaani ni mmh hapana
 
Ok ni Sawa #sweetcandy umenambia vizuri sana akini Mimi Kama naweza kuishi maisha ya haina yoyote Ile Kwangu Mimi udini si ishu kwani siamini katika yesu wala siamini katika mohammed naamini katika mungu pekee yeye ndo mwongozo wa maisha yangu na sio mwanadamu nitakwenda na Nitaishi Mimi sifati uislamu wala ukristo Nakwenda kutafuta pesa na kuishi basi mengine naawachia nyie
 
Bana weeeeee maisha popote utakapohisi unaweza kuishi na maisha yakaenda pasipo kumbugudhi mtu yoyote ruksa dunia yote yetu na ndo mana tumepewa na miguu tusigande seehemu moja uchumi tu wa mifukoni ndo inatufanya tusindwe kuruka ughaibuni akini isingekuwa izi sheria za mwanadamu kuziweka bongo kungekuwa hakuna raia
Maisha popote yes si ungeenda kimyakimya?
 
Ok ni Sawa #sweetcandy umenambia vizuri sana akini Mimi Kama naweza kuishi maisha ya haina yoyote Ile Kwangu Mimi udini si ishu kwani siamini katika yesu wala siamini katika mohammed naamini katika mungu pekee yeye ndo mwongozo wa maisha yangu na sio mwanadamu nitakwenda na Nitaishi Mimi sifati uislamu wala ukristo Nakwenda kutafuta pesa na kuishi basi mengine naawachia nyie
Hawakupi fulsa ya utafutaji maana wewe sio muislam mara ingine hadi wao kwa wso ni majanga . Hawa watu huwajui
 
N
Sijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna
Sijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna .
nakwenda kubisha nao na tutaishi ivo ivo labda waniuwe
 
Sijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna .
Wazanzibar wanapenda kurogana na kingeni wao wao hawapendani yani hawana ujirani mwema
Yani utakuta majirani awasalimiani yani wanaishi kama hawafahamiani vile, Kule wana uana sana kwa kurogana yani kila baada ya Nyumba kumi hakuna Baba mwenye Nyumba, Nimejifunza mifumo ya familia yao tofauti na watu wa Tanganyika kule utakuta Mama azalea watoto peke yake uku tunasema Single mother lakini kule ni Mama yupo kwendoa,na Utakuta Mama ana watoto 8 na Baba zao wapo wa 6 yani kila Mwanamke kazaa na Wanaume zaidi ya wawili.
 
Ndio ukweli mwenyewe
 
Back
Top Bottom