kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ndo uhalisia,,,,unawaza kwenda pemba eti nje ya nchi ? Baki huko mashambani ufanye vibarua, utaenda kutatuliwa marinda bure uvishwe na khangaKuwa serious kaka Kama uwez bora utulie tu kuliko kucoment upuuz
Kaka naona ujielewi kabsa afu utakuta unajiita msomi pole yako sana mbona wewe ujabaki uko mashambaniNdo uhalisia,,,,unawaza kwenda pemba eti nje ya nchi ? Baki huko mashambani ufanye vibarua, utaenda kutatuliwa marinda bure uvishwe na khanga
UKWELI MCHUNGU SANA HUUNchi imekaa kidini ndo unataka kwenda? Wanaojitambua matajiri wanasaka viwanja Bara.
Povu ruksa
Bana weeeeee maisha popote utakapohisi unaweza kuishi na maisha yakaenda pasipo kumbugudhi mtu yoyote ruksa dunia yote yetu na ndo mana tumepewa na miguu tusigande seehemu moja uchumi tu wa mifukoni ndo inatufanya tusindwe kuruka ughaibuni akini isingekuwa izi sheria za mwanadamu kuziweka bongo kungekuwa hakuna raiaUKWELI MCHUNGU SANA HUU
Ok ni Sawa #sweetcandy umenambia vizuri sana akini Mimi Kama naweza kuishi maisha ya haina yoyote Ile Kwangu Mimi udini si ishu kwani siamini katika yesu wala siamini katika mohammed naamini katika mungu pekee yeye ndo mwongozo wa maisha yangu na sio mwanadamu nitakwenda na Nitaishi Mimi sifati uislamu wala ukristo Nakwenda kutafuta pesa na kuishi basi mengine naawachia nyieYaani ukisikia zanzibar ujue ni nchi ya waislam huku bars ndio ya mchanganyiko japo waislam walitaka kutuletea ukengee tukadhibiti hali walitaka walete udini na mamila yao yautovu wa nidhamu.
So ukienda huko lazima uwe muislam kanisani unaenda ila kuna hofu yakupigwa au kuripotiwa kwenye vituo vya polisi . CalvinKevoo japo huko ni pazuri kwa biashara za utalii.
Zanzibar nawaogopa sana mie siwezi kuishi nao . Yaani ni mmh hapana
Maisha popote yes si ungeenda kimyakimya?Bana weeeeee maisha popote utakapohisi unaweza kuishi na maisha yakaenda pasipo kumbugudhi mtu yoyote ruksa dunia yote yetu na ndo mana tumepewa na miguu tusigande seehemu moja uchumi tu wa mifukoni ndo inatufanya tusindwe kuruka ughaibuni akini isingekuwa izi sheria za mwanadamu kuziweka bongo kungekuwa hakuna raia
Hawakupi fulsa ya utafutaji maana wewe sio muislam mara ingine hadi wao kwa wso ni majanga . Hawa watu huwajuiOk ni Sawa #sweetcandy umenambia vizuri sana akini Mimi Kama naweza kuishi maisha ya haina yoyote Ile Kwangu Mimi udini si ishu kwani siamini katika yesu wala siamini katika mohammed naamini katika mungu pekee yeye ndo mwongozo wa maisha yangu na sio mwanadamu nitakwenda na Nitaishi Mimi sifati uislamu wala ukristo Nakwenda kutafuta pesa na kuishi basi mengine naawachia nyie
Du asee sio mchezo unamanisha sasa tusiende si ndioHawakupi fulsa ya utafutaji maana wewe sio muislam mara ingine hadi wao kwa wso ni majanga . Hawa watu huwajui
Kwa hiyo mwanaume anaolewa?Kweli. Wazungu wako wengi sana kama wewe unaona kupata mzungu ni kubahatika njoo haraka, hawa jamaa hawachagui jinsia, wao wanaoa tuu uwe mwanamke au mwanaume unaolewa vizuri tuu. Njoo ubahatike.
Sijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna .Du asee sio mchezo unamanisha sasa tusiende si ndio
Kwani wewe mgeni hapa duniani?Kwa hiyo mwanaume anaolewa?
Labda wewe ndo mgeniKwani wewe mgeni hapa duniani?
Sijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna
nakwenda kubisha nao na tutaishi ivo ivo labda waniuweSijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna .
Sasa kama ni mwenyeji unashangaa kusikia mwanaume kaolewa duniani?Labda wewe ndo mgeni
Au wewe umeolewa mana sikuelewi elewi 🥸Sasa kama ni mwenyeji unashangaa kusikia mwanaume kaolewa duniani?
Wazanzibar wanapenda kurogana na kingeni wao wao hawapendani yani hawana ujirani mwemaSijui aisee ila kuna mtu alienda kikazi alinyanyaswa hadi akawa anakuja dar kusali kwa uhuru anarudi nakivuko, halafu wanamfuatilia kwa mambo mengi tu ili usipige hatua ila nitahidi tu kwa uelewa wako utapita ila wanabanaga sna .
Ndio ukweli mwenyeweWazanzibar wanapenda kurogana na kingeni wao wao hawapendani yani hawana ujirani mwema
Yani utakuta majirani awasalimiani yani wanaishi kama hawafahamiani vile, Kule wana uana sana kwa kurogana yani kila baada ya Nyumba kumi hakuna Baba mwenye Nyumba, Nimejifunza mifumo ya familia yao tofauti na watu wa Tanganyika kule utakuta Mama azalea watoto peke yake uku tunasema Single mother lakini kule ni Mama yupo kwendoa,na Utakuta Mama ana watoto 8 na Baba zao wapo wa 6 yani kila Mwanamke kazaa na Wanaume zaidi ya wawili.