Nataka kwenda kuoa Zanzibar

uwezekano wa kupata bikira upo
?
 
Huu ndo ukwel wenyew yaani

Wanachukulia poa san hao ila ukwel ndo huo hupewi mtt wa watu kama hujachunguzwa vya kutosha na ukionekana una makando kando yaliyokua hayaeleweki tu hupewi ata uwe na hela kias gan ila ukiwaambia wanabisha
Sure bado wazanzibari wanadumisha Mila na tamaduni zao kwa asilimia kubwa, kama anaweza kupata mke wa kiislamu nje ya muongozo niliompa Mimi basi kutakuwa na walakini ama kwa huyo mwanamke au familia yake, haitokuwa rahisi kama unavyofikiria, huku watu wamelelewa bwana discipline iko juu Sana, wako wachache waliokengeuko lakini wengi wao wanathamini dini yao na maadili kuliko kitu chochote, unaweza kuta baba ni mlevi mbwa lakini kumuozesha mwanawe kwa asiekuwa muislamu haitokaa itokee labda awe amelewa na usishangae ulevi ukimtoka akaja kuivunja hiyo ndoa
 
Kama ilivyo kigezo cha kuajiriwa SMZ ni lazma uwe ni mzanzibar bc na kwa wazaz ni hivyo hivo ili uwo bint yao lazma uwe mzanzibar inagawa sio wote ile weng mno wako na mtazamo uwo ata uwe tajir kias gani hawakupiiii mtoto wao abadan.
Duh wanafanya mambo yawe magumu sasa
 
Nikiwa kama muislamu nikushauri kitu kimoja , usije ukabadilisha dini kwa ajili ya ndoa au kitu kingine chochote ispokuwa ubadili dini kwa sababu umefanya tafiti zako ukapata majibh yanayoridhisha na ukaona hii dini ndiyo chaguo sahihi .

Haiishii kwenye kubadili dini pekeee utakapobadili dini basi isome zaidi na ukazane na ibada kisha uielewe kiundani ili uweze kuwa na msimamo sahihi kwenye dini yako.

Tukirudi kwenye hitajio lako kiukweli wazanzibari hawatoweza kukupa mke kabisa kwa sababu dini ni tofauti na haifai kwa mwanamke muislamu kuolewa na mwanaume wa dinj tofauti.
 
Mkuu umewahi kuwa na mtoto wa kike? Sidhani kwa sababu kama ungekuwa na mtoto wa kike Usinge toa hoja ya kitoto kama hiyo
Mwanao wa miaka 16 unaweza kumpatia mwanaume akamfilimbe kwa Jina la ndoa nakuuliza?
 
Ameshasema kwao ni waislamu isipokuwa babu yake alibadili ili amuoe bibi yake mi nadhani kuhusu yeye kubadilisha dini kwake haiwezi kuwa tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…