Nataka kwenda kuoa Zanzibar


Kuwa makini usije ukaoana na jini bila kujua
 
Ukitokea bara, kwemda kuoa unguja, hata ukiwa muislam wa kuzaliwa, kabla ya kiapo cha ndoa, lazima utaje shahada na iwe kama unaslimishwa kwanza kisha ndoa inafuata.
 
Wewe ndie ulikuwa unashangilia kuwatoa watoto wako English medium na kuwapeleka Kayumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…