Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu.
Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia
Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama.
Mama wa watu kaombwa
1. Katiba ... Kakubali
2. Maslahi ya Lissu...katoa
3. Mikutano ya siasa...kafungulia.
4. Uhuru wa vyombo vya habari...kaachia
5. Wafanyabiashara waliokamatwa kiuonevu ...kawaachia.
5. Ajira kwa vijana.....kaachia,
6. Vyeo na maslahi ya wafanyakazi kapandisha.
7. Uuaji, utekaji na wasiojulikana ....kafuta kabisa.
Huyu Nani atamsema vibaya akiondoka madarakani??