Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mzoga ushaoza.
Ni heri utulie nyumbani, adhabu anazopewa huko ni nyingi mno
Ni heri utulie nyumbani, adhabu anazopewa huko ni nyingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jambo umekariri na litakusumbua sana.Unaabudu mawe?Maisha yanasonga mbele boss wangu.Nengua kadiri ya mapigo ya ngoma.Mtaa unazungumza wenyewe, haihitaji hata elimu ya primary kujua maisha ni magumu kipindi cha samia kuliko kipindi cha Jpm.
Kipindi cha Jpm waliohangaika ni wahuni tu, na wengi wamekaa kimya japo Jpm Hayupo tena kwasababu wanajua uhuni waliokuwa wanafanya.
Maisha ni magumu acha tantarila,Kuna jambo umekariri na litakusumbua sana.Unaabudu mawe?Maisha yanasonga mbele boss wangu.Nengua kadiri ya mapigo ya ngoma.