Mtaa unazungumza wenyewe, haihitaji hata elimu ya primary kujua maisha ni magumu kipindi cha samia kuliko kipindi cha Jpm.
Kipindi cha Jpm waliohangaika ni wahuni tu, na wengi wamekaa kimya japo Jpm Hayupo tena kwasababu wanajua uhuni waliokuwa wanafanya.