Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
kumpiga shetani au kuupiga mawe ukuta? tuwe wakweli? Masananamu ya Bikra Maria au yesu kweli yule ndiye yesu/Maria? hapana! pictorial Representation ya hao watu.....Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
Sasa hapa bikira Maria au Yesu wameingiaje katika hili la upigaji wa mawe?kumpiga shetani au kuupiga mawe ukuta? tuwe wakweli? Masananamu ya Bikra Maria au yesu kweli yule ndiye yesu/Maria? hapana! pictorial Representation ya hao watu.....
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
kumpiga shetani au kuupiga mawe ukuta? tuwe wakweli? Masananamu ya Bikra Maria au yesu kweli yule ndiye yesu/Maria? hapana! pictorial Representation ya hao watu.....
fasihi linganishi......yote ni masanamuSasa hayo ya Masanamu Na alichouliza mleta mada wapi na wapi?
fasihi linganishi......yote ni masanamu.Sasa hapa bikira Maria au Yesu wameingiaje katika hili la upigaji wa mawe?
Tafadhali yako ipo dubious.Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
Msikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada paleMada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
Mbona nimeweka wazi.Tafadhali yako ipo dubious.
Jadili tendo la kumpiga mawe shetani lina maana gani kuliko kujifanya muislam wakati wewe ni mgalatia mwenzangu
hata wakristo kwenye biblia ni ibrahimuKwa taarifa yako tu ni kwamba hii issue ya hijja yote inahusisha historia ya Nabii Ibrahim (nyinyi munamwita Abraham).
Kuna vitu vingi ndani ya Hijja lakini hilo la upigaji wa mawe kwenye Jamarat ni kama symbol ya kuashiria kumlaani shetani na kukumbushia uwepo wake. Siyo kwamba huyo shetani mwenyewe ndiyo anaishi pale.
Asante mkuu kwa mchango wenye elimu nzuri.Msikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada pale
Hivyo waislam wanapokwenda kuiji Makka pia wanafanya vitendo kama kumbukumbu ambayo vilifanywa na nabii Ibrahim , Isumail na Hajiri pia
1) kuna kutembea kati ya vilima viwili swafa na Malwa kukumbuka Hajiri alipokuwa anaenda na kurudi kumtafutia maji mwanawe ili asife na kiu
2) Kuna kuchinja ni kama kumbumbu kuwa nabii Ibrahim alichinja kondoo aliyetwa na malaika baada ya kutaka kutimiza ahadi yake ya kumchinja mwanawe
3) Kumpiga mawe shetani ni kama kumbukumbu wakati shetani alipokuwa anata Hajiri ajue mpango wa Ibrahim wa kumchinja mtoto Hajira akawa anamfukuza shetini kwa kumrushia mawe
4) Kuna kisima cha maji ya zamzam kilichotokana na chemchem ili kufanya mtoto Isumail apate maji ya kunywa
na hii hija ni ahadi ambayo Mungu alimuahidi nabii Ibrahim
Katika kitabu cha mwazo Ibrahim alimsikitikia Mungu kuwa naenda zangu sina mtoto atakae kuwa mrithi wangu ni huyu mjakazi wangu
Mungu akamwambia huyo hatakurithi atakae kurithi atatoka katika viuno vyako
kaa ukijua kuwa Muislam ni raha sana yani kila kitu kina Full evidence
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
evidence? ebu nipe evidence nje ya ya hayo maandiko uliyosoma yanayothibitisha hajra alimpiga mawe shetani,na huyo shetani alikuwa anafanya nini hapo anapopigwa mawe,na je leo wewe ukitaka kumipiga mawe unamuona wapi? tuelekeze na sisi tumpige hayo maweMsikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada pale
Hivyo waislam wanapokwenda kuiji Makka pia wanafanya vitendo kama kumbukumbu ambayo vilifanywa na nabii Ibrahim , Isumail na Hajiri pia
1) kuna kutembea kati ya vilima viwili swafa na Malwa kukumbuka Hajiri alipokuwa anaenda na kurudi kumtafutia maji mwanawe ili asife na kiu
2) Kuna kuchinja ni kama kumbumbu kuwa nabii Ibrahim alichinja kondoo aliyetwa na malaika baada ya kutaka kutimiza ahadi yake ya kumchinja mwanawe
3) Kumpiga mawe shetani ni kama kumbukumbu wakati shetani alipokuwa anata Hajiri ajue mpango wa Ibrahim wa kumchinja mtoto Hajira akawa anamfukuza shetini kwa kumrushia mawe
4) Kuna kisima cha maji ya zamzam kilichotokana na chemchem ili kufanya mtoto Isumail apate maji ya kunywa
na hii hija ni ahadi ambayo Mungu alimuahidi nabii Ibrahim
Katika kitabu cha mwazo Ibrahim alimsikitikia Mungu kuwa naenda zangu sina mtoto atakae kuwa mrithi wangu ni huyu mjakazi wangu
Mungu akamwambia huyo hatakurithi atakae kurithi atatoka katika viuno vyako
kaa ukijua kuwa Muislam ni raha sana yani kila kitu kina Full evidence
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hakuna sanamu pale, ni alama ya eneo tu.fasihi linganishi......yote ni masanamu