Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.

Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
 
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.

kumpiga shetani au kuupiga mawe ukuta? tuwe wakweli? Masananamu ya Bikra Maria au yesu kweli yule ndiye yesu/Maria? hapana! pictorial Representation ya hao watu.....
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba hii issue ya hijja yote inahusisha historia ya Nabii Ibrahim (nyinyi munamwita Abraham).

Kuna vitu vingi ndani ya Hijja lakini hilo la upigaji wa mawe kwenye Jamarat ni kama symbol ya kuashiria kumlaani shetani na kukumbushia uwepo wake. Siyo kwamba huyo shetani mwenyewe ndiyo anaishi pale.
 
Sasa hayo ya Masanamu Na alichouliza mleta mada wapi na wapi?
 
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.

Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
Tafadhali yako ipo dubious.

Jadili tendo la kumpiga mawe shetani lina maana gani kuliko kujifanya muislam wakati wewe ni mgalatia mwenzangu
 
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake saka hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.

Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe.
Wenzangu waislamu hebu mnijulishe kama naweza kwenda Makka kwa tendo hilo tu, la kutalii na kumpiga mawe shetani.
Msikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada pale

Hivyo waislam wanapokwenda kuiji Makka pia wanafanya vitendo kama kumbukumbu ambayo vilifanywa na nabii Ibrahim , Isumail na Hajiri pia

1) kuna kutembea kati ya vilima viwili swafa na Malwa kukumbuka Hajiri alipokuwa anaenda na kurudi kumtafutia maji mwanawe ili asife na kiu

2) Kuna kuchinja ni kama kumbumbu kuwa nabii Ibrahim alichinja kondoo aliyetwa na malaika baada ya kutaka kutimiza ahadi yake ya kumchinja mwanawe

3) Kumpiga mawe shetani ni kama kumbukumbu wakati shetani alipokuwa anata Hajiri ajue mpango wa Ibrahim wa kumchinja mtoto Hajira akawa anamfukuza shetini kwa kumrushia mawe

4) Kuna kisima cha maji ya zamzam kilichotokana na chemchem ili kufanya mtoto Isumail apate maji ya kunywa

na hii hija ni ahadi ambayo Mungu alimuahidi nabii Ibrahim
Katika kitabu cha mwazo Ibrahim alimsikitikia Mungu kuwa naenda zangu sina mtoto atakae kuwa mrithi wangu ni huyu mjakazi wangu

Mungu akamwambia huyo hatakurithi atakae kurithi atatoka katika viuno vyako

kaa ukijua kuwa Muislam ni raha sana yani kila kitu kina Full evidence

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba hii issue ya hijja yote inahusisha historia ya Nabii Ibrahim (nyinyi munamwita Abraham).

Kuna vitu vingi ndani ya Hijja lakini hilo la upigaji wa mawe kwenye Jamarat ni kama symbol ya kuashiria kumlaani shetani na kukumbushia uwepo wake. Siyo kwamba huyo shetani mwenyewe ndiyo anaishi pale.
hata wakristo kwenye biblia ni ibrahimu
 
Msikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada pale

Hivyo waislam wanapokwenda kuiji Makka pia wanafanya vitendo kama kumbukumbu ambayo vilifanywa na nabii Ibrahim , Isumail na Hajiri pia

1) kuna kutembea kati ya vilima viwili swafa na Malwa kukumbuka Hajiri alipokuwa anaenda na kurudi kumtafutia maji mwanawe ili asife na kiu

2) Kuna kuchinja ni kama kumbumbu kuwa nabii Ibrahim alichinja kondoo aliyetwa na malaika baada ya kutaka kutimiza ahadi yake ya kumchinja mwanawe

3) Kumpiga mawe shetani ni kama kumbukumbu wakati shetani alipokuwa anata Hajiri ajue mpango wa Ibrahim wa kumchinja mtoto Hajira akawa anamfukuza shetini kwa kumrushia mawe

4) Kuna kisima cha maji ya zamzam kilichotokana na chemchem ili kufanya mtoto Isumail apate maji ya kunywa

na hii hija ni ahadi ambayo Mungu alimuahidi nabii Ibrahim
Katika kitabu cha mwazo Ibrahim alimsikitikia Mungu kuwa naenda zangu sina mtoto atakae kuwa mrithi wangu ni huyu mjakazi wangu

Mungu akamwambia huyo hatakurithi atakae kurithi atatoka katika viuno vyako

kaa ukijua kuwa Muislam ni raha sana yani kila kitu kina Full evidence

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa mchango wenye elimu nzuri.
 
evidence? ebu nipe evidence nje ya ya hayo maandiko uliyosoma yanayothibitisha hajra alimpiga mawe shetani,na huyo shetani alikuwa anafanya nini hapo anapopigwa mawe,na je leo wewe ukitaka kumipiga mawe unamuona wapi? tuelekeze na sisi tumpige hayo mawe
 
Back
Top Bottom