Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Kabla ya kulaani , unatakiwa kujua chanzo cha vita, chanzo cha uvamizi.

kwa sasa jipange wewe na familia yako namna ya kuja kukabiliana na hali ya kiuchumi miezi mitatau ijayo.
Uingereza, ufaransa, germany tayari wameingia vitani kusaidia ukrane, wametoa silaha, baadaye wanajeshi.

China na India wataingia vitani upande wa Urusi.

Wafadhili wa uchumi wetu wanaingia vitani wengine upande huu wengine upande ule.HAKUTAKUWA NA VISETI!
Silaha za nchi za Magharibi zimetua kwa Mrusi
 
Mimi nilipanda ndege pamoja na Samia na tuliachana Qatar. Leo hii nipo Poland na kesho natarajia kutoka na ndege ya NATO kuelekea Kiev-Ukraine.
 
Ukraine Konflikt | Präsident Volodymyr Zelenskyy

Rais Zelensky hajulikani aliko​

Inaelezwa kwamba aliko Rais Zelensky ni suala lililowekwa siri baada ya mwenyewe kuwaambia viongozi wa Umoja wa Ulaya kwamba ni mtu wa kwanza katika orodha ya watu wanaolengwa na Urusi.

Japokuwa rais huyo ametoa pendekezo la kutaka mazungumzo na Urusi kuhusu madai muhimu yaliyotakiwa na Moscow, ambayo ni kuitaka Ukraine itangaze kuwa haina upande na itaaachana na dhamira yake ya kutaka kujiunga na NATO.

Urusi kwa upande wake imejibu pendekezo hilo ikisema iko tayari kutuma ujumbe wake nchini Belarus kuyazungumza hayo.

Mwandishi: Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohammed Khelef
DW Kiswahili
 
Ukiwa mstari wa mbele hujipeleki hovyo hovyo Ili ukauwawe au kukamatwa.

Unapigana kwa kuvizia.
 
Kongo kwa ndugu zako ulienda? Vip zimbabwe? Ethiopea je?

Pilipil usiyoila yakuwasha nini.

Unafiki tutaacha Lin waafrika?, Yaan hao watu kwa upendo gan ulionao wa kushindwa kuthamini nduguzo wa Race yako na kuwakimbilia hao wasiokuhusu wala kukutambua? Unafiki kama huo hata dini zote zimekataa, achilia mbali, ukiwa na elimu ya kujitambua huwez fanya upumbavu kama huo.

Jadiri uonevu anaofanyiwa muafrika kwa kunyanyaswa ktk ardhi yake, achana na mambo yasiyo kuhusu
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia [emoji635] nchini Ukraine [emoji1255].

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine [emoji1255] aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine [emoji1255].

Natanguliza shukrani za dhati.
Umetumia bangi ya wapi vile! Na watu kama wewe ndio mnasababisha bangi iendelee kuwekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya. Nenda hata usiombe kibali.
 
Kongo kwa ndugu zako ulienda? Vip zimbabwe? Ethiopea je?

Pilipil usiyoila yakuwasha nini.

Unafiki tutaacha Lin waafrika?, Yaan hao watu kwa upendo gan ulionao wa kushindwa kuthamini nduguzo wa Race yako na kuwakimbilia hao wasiokuhusu wala kukutambua? Unafiki kama huo hata dini zote zimekataa, achilia mbali, ukiwa na elimu ya kujitambua huwez fanya upumbavu kama huo.

Jadiri uonevu anaofanyiwa muafrika kwa kunyanyaswa ktk ardhi yake, achana na mambo yasiyo kuhusu
Nabii hakubaliki nyumbani
 
Kaka ukipata taarifa sahihi za safari tafadhali unijulishe,twende kwa umoja wetu kukomboa Ukraine.... Sisi wa Tanzania tuna historia ya ukombozi
 
Back
Top Bottom