Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

Sawa Tu

Member
Joined
Nov 7, 2022
Posts
38
Reaction score
131
Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini.

Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin kinyonge
 
Kula bata
 
 
vipi???? unaonaje ladha ya gGG
 
Ila maisha ya kijijini kwa mtumishi ni kujitesaa tu
 
Mshahara ni kiasi gani unapata???usije ukaja mjini kichwa kichwa utapokonywa mpaka hiyo tecno.
 
Hayo ni mambo yako binafsi, hayatuhusu. Hata ukiamua kuhonga yote kwa mademu ni uamuzi wako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…