Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

Huo mshahara wako bora uwatumie wazee wako, kwani ukijichanganya ukaja mjini hata ule mshahara uliohifadhi ndani ya miezi 11 utaumaliza.
 
Wazo lako ni zuri mkuu.
Furahisha nafsi,relax,punguza stress uanze mwaka ujao ukiwa na nguvu za kutafuta pesa zaid.
 
images (1).jpeg
 
Nenda kaenjoy, life is too short, next time usijiulize kuenjoy is part of life, hujaja kusindikiza lazima uishi
 
Mkuu panda town
Badili mazingira
Kula vizuri
Wew ni mtu na Sio robot
 
Back
Top Bottom