"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.

Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.

"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye hela""


rs22.jpg
 
Ushaonja utamu wa yesu nan anataka kushare na wewe

Anyway ana watoto au mtoto na naona umri umeenda sura ishakuwa ngumu kama kitambaa cha suit
Kwa sifa hizo na bado anaweka vigezo sasa cku tumuone na ngozi nyeusi
 
Kipindi ana kiki kapigwa sana miti na mastage show wake, saizi kasanda anaanza kutuletea shobo wazungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaaaaa ,mzungu kichaa ww au mzungu mwenye pesa zake mkuu
 
Back
Top Bottom