"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

Sasa mwenye pesa kweli atakuwa single tu...hapo labda avizie hoh hahe ndio wanapatikana kirahisi.
 
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.

Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.

"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye hela""

Elimu na kujitambua ni vitu muhimu sana kwenye maisha ya mwafrika
 
Alikua dini gani??
Rose Mhando (ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose Muhando; amezaliwa Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, nchini Tanzania, 1976) ni msanii wa muziki wa Injili katika lugha ya Kiswahili maarufu katika kanda ya Afrika Mashariki.

Rose, ambaye alikuwa muumini wa dini ya Kiislamu, ni mama wa watoto watatu. Mama huyu alidai kuwa akiwa na umri wa miaka tisa alipata maono ya Yesu Kristo akiwa amelazwa. Aliteseka kwa muda wa miaka mitatu, na baada ya hapo alipona na kubadili dini (kuongoka) na kuwa Mkristo.

Alianza fani yake ya muziki kama mwalimu wa kwaya inayoitwa Kwaya ya Mtakatifu Maria katika kanisa la kianglikana linaloitwa Chimuli mkoani Dodoma.
 
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.

Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.

"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye hela""

Uzee wote huo bado unatafuta mume
 
Ni mwanaume au Mwanamke mbona unachanganya. Halafu kuna umri ukifika sio lazima kuolewe halafu Mwanamke akifika miaka kuanzia 45 mpaka 55 anaacha kwenda menopause sasa anaolewa ili iweje
Makosa ya kiuandishi n mwanamke
age hiyo hapo anataka kula bata tu kwa sababu hata huyo mume atayempata itakuwa naye ana watoto hana mpango wa kuzaa tena
 
Back
Top Bottom