Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unatumia detector ya namna gani kugundua nimeumia?Kweli umeumia lol
Sijajifanya mstaarabu Wala ustaarabu wa mtu hautambuliki kwa yeye kujieleza kuwa mstaarabu.
Nimekukumbusha maneno yako uloandika yawakilisha matendo yako. Sijasuluhisha nimekueleza.
Ni juu yako kuendelea kuyatoa au kuacha
Uspanik rilaksi
Naona kupitia maandishi nayo yaandika unajiwekea mawazo kichwani mwako kimhemko ambayo mimi sina kusudio nayo
Na ndio maana nimekuita mnafki kwasababu hatua uliyoanza nayo ya kunikumbusha haikuonesha kama imetoka kwa mtu mwenye busara, ilikuwa na maneno ya mipasho ambayo nayatafsiri kama matusi
Kama mweusi baki na weusi wako watu wakujue kuwa we mweusi. Na kama ni mweupe ifahamie hivyo
Sipendi ukijvu, we ni mnafki
NB: utakuja kusema nimekasirika wakati kumbe nakuelezea namna ulivyo