Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaaminika wazungu sio bahili katika kuhongana kwa nini awe mzungu[emoji848][emoji848]
Kuliwa tigo mkuuNi mwanaume au Mwanamke mbona unachanganya. Halafu kuna umri ukifika sio lazima kuolewe halafu Mwanamke akifika miaka kuanzia 45 mpaka 55 anaacha kwenda menopause sasa anaolewa ili iweje
Kumbuka tigo ipo mkuuKatika umri huo hata Hana utelezi katika uke wake. Ni rahisi kupata michubuko
Warren atamfaa zaidiALIYE JIRAN NA ROSE MHANDO MUONYESHENI HII ORODHA YA HAWA WAZUNGU MATAJIRI:
- Bernard Arnault. Age: 72. ...
- Bill Gates. Age: 66. Residence: Washington. ...
- Larry Page. Age: 48. Residence: California. ...
- Mark Zuckerberg. Age: 37. Residence: California. ...
- Sergey Brin. Age: 48. Residence: California. ...
- Warren Buffett. Age: 91. Residence: Nebraska. ...
- Steve Ballmer. Age: 65. Residence: Washington. ...
- Larry Ellison. Age: 77. Residence: Hawaii.
SWALI WEWE UNA NINI CHA KUFANYA KWA HUYO MZUNGU TAJIRI? JE U BIKRA?
Kipindi ana kiki kapigwa sana miti na mastage show wake, saizi kasanda anaanza kutuletea shobo wazungu
Akatafute wapemba wa ilala...halaf naona ameanza tena kubwiaMsanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.
Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku akitaja ombi lake analotamani mwaka huu 2022.
"Yesu nitendee, ombi langu mwaka huu nataka nipate mume mzungu na mwenye hela""
Mama D kacharuka
Asante kwa kunikumbsha kwamba sikuwa na haja ya kumtukana, ila hapo hapo umeongezea maneno mengine ambayo kwangu nayatafsiri kama matusiHongera na wewe kua Kati ya mastage show wake.
Ila sababu hukumuoa ana haki ya kuolewa Kama anavyojiskia
Hukuwa na haja ya kumtukana. Yule ni mama, Dada, shangazi, binti kwa wengine Kama ulio nao wewe.
Asante kwa kunikumbsha kwamba sikuwa na haja ya kumtukana, ila hapo hapo umeongezea maneno mengine ambayo kwangu nayatafsiri kama matusi
Wapi nimeeleza kua niliwahi kua mmoja wa mastage show wake?
Hilo ni tusi lililopenyezwa indirectly kinafki, hivi ni kweli hupendi matusi?
au una double standards kwamba watu fulani wasitukanwe ila watu wa aina fulani hata wakitukanwa sio ishu?
Maandiko yangu yameakisi chuki, ila hujaelezea maandiko yako dhidi yangu yameakisi niniMaandiko yako yameakisi hasira na chuki ya wazi kwamba anayeweza kuongea hayo ni yule mwenye uhakika na hayo matendo anayosema.
Na kujiamini ulikoonyesha Kama wewe sio mtendaji basi ni mtunzi hodari wa mambo yasiyokuwako
Maandiko yangu yameakisi chuki, ila hujaelezea maandiko yako dhidi yangu yameakisi nini
Unatumia chuki kukemea chuki?
Tangu lini mkono wenye shombo ukafukuza paka?
Mimi sijali kuhusu shombo, nazungumzia unafki wako ambao ulianza nao mwanzo wakujifanya mtu fulani muungwana uliye staarabika au mtu fulani mdini unayechukizwa sana na matusi na ukaja kama msuluhishi kuni cool down kumbe nia yako uje unitusi na mimiUlipomrushia Dada Rose shombo hukujua Wala kuhisi ni shombo hadi nilipoirudisha kwako ikakunukia
Kweli mzigo mzito mbebeshe msukuma😅😅
Nashukuru shombo ulikotoa kwake limekunukia na wewe✌️
Kweli umeumia lolMimi sijali kuhusu shombo, nazungumzia unafki wako ambao ulianza nao mwanzo wakujifanya mtu fulani uliye staarabika au mtu fulani mdini unayechukizwa sana na matusi na ukaja kama msuluhishi kuni cool down kumbe nia yako uje unitusi na mimi