"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

"Nataka Mume mzungu mwenye pesa" - Rose Muhando

Maandiko yangu yameakisi chuki, ila hujaelezea maandiko yako dhidi yangu yameakisi nini

Unatumia chuki kukemea chuki?

Tangu lini mkono wenye shombo ukafukuza paka?
Huyo ni changudoa... ana hangover ya msiba wa mwezi march 2021 bado.
 
Elimu na kujitambua ni vitu muhimu sana kwenye maisha ya mwafrika
Hapa ndipo tunazidiwa kama nchi Elimu Elimu hapa ndio shida ipo ....

Kwani angekaa nalo moyoni kwa utu uzima huu angepungukiwa jambo?
Kuolewa na mzungu ndio kuwin maisha au kuna lingine la ziada
Promo zingine lakini kha!
Nami nampenda Yesu
Hahahhh bongo raha sana
 
Yawezekana, Kama kina Nyota ndogo, na Akotee, sisi tatizo lugha ya malkia.
 
Hapa ndipo tunazidiwa kama nchi Elimu Elimu hapa ndio shida ipo ....

Kwani angekaa nalo moyoni kwa utu uzima huu angepungukiwa jambo?
Kuolewa na mzungu ndio kuwin maisha au kuna lingine la ziada
Promo zingine lakini kha!
Nami nampenda Yesu
Hahahhh bongo raha sana
karibu bongoland
 
Kila la heri kwa Dada Rose
Mungu akupe haha ya moyo wako
Huyu dada mbali na mapitio anayopitia mm napenda sana nyimbonzaje Na Ile kuchangamka kwake stejini. Kuna wimbo ametoa wa Mungu ibarike Kenya/bariki Uhuru......Daah
 
Huyu dada mbali na mapitio anayopitia mm napenda sana nyimbonzaje Na Ile kuchangamka kwake stejini. Kuna wimbo ametoa wa Mungu ibarike Kenya/bariki Uhuru......Daah
Stejini hanaga masihara kwa kwel
 
Back
Top Bottom