Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kwahiyo kigezo ni kujua 2 kupika sio?nataka mwanaume anaejua kupika
mkuu umenifurahisha
Dadavua mazoezi unayoyataka kwa mwanaumeau atakaenifanyisha mazoezi
Nipo hapa ila najua kupika chai tu.nataka mwanaume anaejua kupika
utakuja kuunguza nyumba etihahahahahahaha