Nataka mwanaume anaejua kupika

Nataka mwanaume anaejua kupika

Ha haaaa,Unataka nikupikie nini ?
 
Mhh vipaumbele vyako vina viashiria kuwa you are overweight,ila usijali wapishi tupo humu,na mazoezi utafanyishwa,swali ni je wewe una nini cha ku offer?
 
Unapenda kula na kufanya mazoez,msukuma atakufaa mami
 
Mimi najua ila nipo Form IV

"Ideas are easy but Implementation is hard."
 
Napika hadi sio vizuri.but sijaelewa unamtaka for cooking ama relation

Good Neighbour
 
Back
Top Bottom