Nataka mwanaume anaejua kupika

Nataka mwanaume anaejua kupika

Hebu njoo PM aisee. Ntakupikia rosti la dagaa tamu balaa na kaugali kalaini laini halafu kamotooooo na mchicha. Halafu pia natengeneza juice za aina zote, na zenyewe ni tamu balaa.
 
najua kupika wali,ndizi,ugali,mboga,chapati,tambi,n.k
 
Sijakuelewa,-- unataka mume anayejua kupika au unataka mpishi mwanaume?
 
Sijakuelewa,-- unataka mume anayejua kupika au unataka mpishi mwanaume?
 
Ha haaaa,Unataka nikupikie nini ?
 
Back
Top Bottom