Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

Hapo usizunguke wewe sema tu nauza mali asili.
Pia sema nimechoka kudanga na wanaume tofauti sasa nataka nimuuzie mmoja tu.
Ungekuwa Dar ningejaribu zali ila pawepo na mkataba maana wanawake wa mitandaoni nyie leo mkipewa 50 kesho mnaomba laki, kesho mkipewa laki keshokutwa mnaomba laki 5 yaani kila siku mnapandisha dau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…