Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

Heshima yako Mkuu.. Napenda kuskia maoni yako khs game ya juz kati ya Usyk vs Rico..

Na v yapi maoni yako baada ya tetesi ya game kati ya mnyama Gervonta 'Tank' vs Floyd Schofield..
Bingwa wa Dunia wa WBA uzani wa lightweight, Gervonta 'Tank' Davis, ameagizwa rasmi kutetea taji lake hilo dhidi ya mpinzani ambaye hajawahi kupoteza na anayeshika nafasi ya kwanza kwenye orodha ya WBA, Floyd Schofield [19-0, 13KO's].

Endapo 'Tank' hatafanya hivyo, anaweza kuvuliwa ubingwa wake wa dunia. ‘Tank’ [30-0-1, 28KO's] hajapigana tangu alipomaliza kwa sare ya majority dhidi ya Lamont Roach Jr. mwezi Machi mwaka 2025.

Katika pambano hilo, Davis alinusurika kupoteza taji lake kwenye matokeo yaliyozua mjadala mkubwa, huku wengi wakiamini Roach alistahili ushindi.
 
Kwa Heshima !!!
 
Hello,

Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.

Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.

Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Yaani penzi zuri lipatikane Arusha?
Watu mna matani sana na mapenzi
 
Hello,

Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.

Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.

Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Siku hizi hawataki usumbufu wanamalizia kwenye minazi
 
Back
Top Bottom