Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

Hello,

Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature .Akiwa Arusha itakua vizuri zaidi.

Nitakupa Amani,heshima na penzi zuri baba .

Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Mimi nipo Minjingu.

Package yako ya penzi zuri ipo vipi?

Na unaposema kuhudumia kwa kuzingatia una maanisha nini? Isije ukawa unachukulia huduma kama Habibi come to dubai? 😉😉
 
UHUDUMIWE KWANI WEWE NI KILEMA BROO

PIGA JEMBE MVUA ZIKO ZA KUTOSHA ACHILIA MBALI KILIMO CHA UMWAGILIAJI KINACHOZIDI KUPAMBA MOTO KILA SIKU
 
Punguzeni ujuaji kwenye post za watu. Kama haikuhusu pita kimya kimya.

Na wenye ushauri pelekeni Angaza au kwenye Tume ya Oct 2025.

Lastly,dady uliye elewa my post come to my PM baby,Nina mapenzi tele ya kukupa na hali hii ya hewa...
 
Kwa kufoka uku sidhan kama package ya mapenzi itakuwepo kila la kheri kwa beby dady wako ajae
 
Back
Top Bottom