chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
duuh kwahiyo ni ndoa au for fun ili kusogeza muda ?
Umeambiwa sifanyi kazi?Fanya kazi
Sa mbona kama umeungua?Punguzeni ujuaji kwenye post za watu. Kama haikuhusu pita kimya kimya.
Na wenye ushauri pelekeni Angaza au kwenye Tume ya Oct 2025.
Lastly,dady uliye elewa my post come to my PM baby,Nina mapenzi tele ya kukupa na hali hii ya hewa...
Wanaume sasa hivi mnawindwa sana shemela duh😅Kwanza kila la kheri.
Ila ngoja nikukumbushe kitu, ukikutana na Mwanaume na akajua toka mwanzo kuwa yeye anatoa hela na ww unamuuzia mapenz. Hata uonyeshe mapenz ya aina gan. Bado atajua unamuzia kwaajili ya hela zake.
Ataweza akatenga hela akakuhudumia miez 2 na akakutumia na ukala hela zake na akasepa.
Kwahiyo utatafuta mwingine?.
Unahisi watakuwa na tofauti?.
na ni kwasababu ya njia uliyowapata sio sahihi.
Kuna wanawake unaweza kuachana nao. Na baadae huko mbele akikuchek ana shida za hela ndogo ndogo una msort. Na ni kwasababu hakuwa anakuuzia.
Sijui kama umeelewa point yangu.
Nashaur weka vigezo vya mwanaume unayehitaj. Na akitokea utampa majukumu yako ayatimize. Na yule atakaye yatimiza ndio sasa atakuwa kama huyo mwanaume unayemuhitaji.
Lengo ni moja . Njia ya kupita ndio tofauti.
NB: Hata kama unajiuza. Ukitangaza biashara wazwaz mwanaume anakudharau. Na akikutafuta ni atakutumia kwa muda mchache . Alaf atakuacha uendelee kutumika kwa wana wengine.
Fake Id's bro. Watu wanajiweka vyovyote vile wanavyotaka.Mwanaume halisi hawezi kufanya hivyo, labda wale wa bendera.
Vigezo na masharti kuzingatiwaHello,
Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.
Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.
Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Maelezo 💯😄😄tuambie na aidii yako unayo itumia kila siku
sema nimependa ulivyo nyooka, kila lenye kheri mkuu
Sijui nimechelewa! 😱Hello,
Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.
Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.
Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
HapanaUlipata?
Badili mbinu, Sasa hv jifanye mcha Mungu, Nenda kanisani na misikitini Afu usivae kama bibi mlokoleHapana
Heshima yako Mkuu.. Napenda kuskia maoni yako khs game ya juz kati ya Usyk vs Rico..Umepotea njia.
Rudi telegram kwa wadangaji wenzako.
Ushanipata Mama.. Ila usiwe na mawazo kama ya mleta Mada anayetaka kuudumiwa kama mgonjwaUkipata wawili naomba mmoja kipenzi
Ndio dosari iko hapo,mwanaume wa kuhudumua yeye peke yake kwa sasa hayupo labda kama unataka babu kama mimi mwenye above 60.Jifunze kutafuta ili mkutane katikati na mwanaumeHello,
Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.
Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.
Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.