Nataka na nina Nia ya Kuwa Tajiri Nipeni Mawaidha yenu!

Nunua viwanja maeneo yote yanayokuwa kwa kasi utauza baada ya miaka kumi!

Lima mashamba ya miti
 
Mambo ya chit chat huwa yanaishia hapa hapa jukwaan ukichulia userious unaweza kufwa kabla ya siku

Hapo tu ndio nakupendeaga. Sasa lete mpango mzima wa kijana wetu kuwa tajiri. Wewe binafsi una ushauri gani?
 
hawa masonc si ndo wagawa pesa?
 
Ushauri afanye kazi kwa bidii au kama ni mfanyabiashara afanye biashara kwa bidii apunguze matumizi ambayo si ya lazima apunguze starehe

Mh! Hivo tu, mbona mie nafanya vyote hivyo na bado sio tajiri?
 
The mason,
Nafikiri kwa umri uliofikia endelea kupambana ukifika miaka 25 nitakuunganisha na jumuiya ya siri na utapata mafanikio makubwa mno bila masharti ya kumwaga damu ya mtu.
 
Work hard tu bro.. Ndo siri ya mafanikio.. Utajiri sio game kwamba kuna mbinu zake ili uwin.. Hauna formula.. Just work hard until no work is left.. Ukiwa na tamaa sana ya pesa utafeli kirahisi kwenye malengo yako.. Kuwa na tamaa zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.. Kila tajiri ana work hard..

SOMA SANA, SALI SANA, FANYA KAZI SANA
 
Ushauri afanye kazi kwa bidii au kama ni mfanyabiashara afanye biashara kwa bidii apunguze matumizi ambayo si ya lazima apunguze starehe
Starehe ipi kwa mfano!
Na anataka utajiri si ili apate raha ndo starehe zenyewe
 
Mmh kama kufanya Kazi sana ndo kuwa tajiri basi wakulima wengi wangekuwa matajiri ila si ndo babu na bibi mliowakimbia Shamba huko!

Utajiri ni siri ya alionao!
 
Mmh kama kufanya Kazi sana ndo kuwa tajiri basi wakulima wengi wangekuwa matajiri ila si ndo babu na bibi mliowakimbia Shamba huko!

Utajiri ni siri ya alionao!
Ukiona wanafanya kazi sana bado sio matajiri basi kuna kitu wana miss either kusali au kusoma
 
Mkuu hebu jaribu Forex. Wekeza miaka kama miwili ujifunze sawasawa alaf ingia mzigoni. Ukikurupuka itakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…