Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhahah
Nimefurahi kwa kaka angu The list alivyomwambiaMrs G unacheka nini tena? Toa ushauri kijana anataka awe tajiri ujue.
Mambo ya chit chat huwa yanaishia hapa hapa jukwaan ukichulia userious unaweza kufwa kabla ya sikuThe List siku hizi anatunyooshea thread, akiipitisha ujue imesimama kwelikweli, vinginevyo utaondoka na empty set.
Utanialika kwenye ubwabwa au ndio sipewi kadi?
Mambo ya chit chat huwa yanaishia hapa hapa jukwaan ukichulia userious unaweza kufwa kabla ya siku
Hiyo Avatar yako Inaongea mengi sana..... [emoji32] [emoji32]
hawa masonc si ndo wagawa pesa?Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi ya Pesa....Nahitaji kuwa Tajiri.
katika shughuli zangu ninazozifanya mara kwa mara naambulia pesa ya kawaida ya kubadilishia mboga...Hali ambayo siridhiki nayo.
Yaani nataka kuwa Tajiri Haswa ile ukifika mtaani waseme Flani naye ni Tajiri wa Huu Mtaa.
Nimewaza sana nikafikia uamuzi wa kutumia Nguvu za Giza maana kila niliyejaribu kuzungumza naye amejaribu kunisihi kwamba ukitaka kuwa tajiri lazima shetani awe na ukaribu na wewe.
Nimejaribu kufuatilia story za Matajiri wengi nimeona wao pia wameegemea sana upande wa Nguvu za Giza sina uhakika kama wapo au hawapo ambao wanategemea nguvu za Mungu.
Sasa ndugu ambao kidogo Mna idea ziwe hizo za Nguvu za Giza au kama kuna Njia Nyingine tofauti nipeni Mawaidha yenu ili Nifanikishe lengo langu.
Asanteni.
Ushauri afanye kazi kwa bidii au kama ni mfanyabiashara afanye biashara kwa bidii apunguze matumizi ambayo si ya lazima apunguze stareheHapo tu ndio nakupendeaga. Sasa lete mpango mzima wa kijana wetu kuwa tajiri. Wewe binafsi una ushauri gani?
Ushauri afanye kazi kwa bidii au kama ni mfanyabiashara afanye biashara kwa bidii apunguze matumizi ambayo si ya lazima apunguze starehe
Basi katafute utajiri wa wagangaMh! Hivo tu, mbona mie nafanya vyote hivyo na bado sio tajiri?
Basi katafute utajiri wa waganga
AmeenHuko siendi Mama Yeyoo, mradi naweza kupeleka maisha yakaenda na kuwasaidia wahitaji pale nnapoweza, ni furaha tosha kwangu.
Starehe ipi kwa mfano!Ushauri afanye kazi kwa bidii au kama ni mfanyabiashara afanye biashara kwa bidii apunguze matumizi ambayo si ya lazima apunguze starehe
Mmh kama kufanya Kazi sana ndo kuwa tajiri basi wakulima wengi wangekuwa matajiri ila si ndo babu na bibi mliowakimbia Shamba huko!Work hard tu bro.. Ndo siri ya mafanikio.. Utajiri sio game kwamba kuna mbinu zake ili uwin.. Hauna formula.. Just work hard until no work is left.. Ukiwa na tamaa sana ya pesa utafeli kirahisi kwenye malengo yako.. Kuwa na tamaa zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.. Kila tajiri ana work hard..
SOMA SANA, SALI SANA, FANYA KAZI SANA
Ukiona wanafanya kazi sana bado sio matajiri basi kuna kitu wana miss either kusali au kusomaMmh kama kufanya Kazi sana ndo kuwa tajiri basi wakulima wengi wangekuwa matajiri ila si ndo babu na bibi mliowakimbia Shamba huko!
Utajiri ni siri ya alionao!