Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

Habari ndugu zangu.

Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.

Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.

Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.

Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.

Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunisaidia mimi kijana wenu.
Naona Unataka kuingia Kwenye Maisha ya "Usafi wa Moyo",Huo ndio unaitwa "Useja" ambao Mapadre na Watawa huishi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Nitakuwa fit sitaumwa ovyo ovyo na nitasave pesa zangu,maana nina watoto 2 sasa natafuta kipi tena kwa wanawake zaidi ya presha na kujikuta unamtoa mtoto wa mtu roho,ni Bora kutojihusisha nao kwani ni dhambi kutokufanya mapenzi?? Hiyo ni dhamira yangu
Ile kitu ikisimama asbh hata akili zinaruka

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hu
Habari ndugu zangu.

Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.

Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.

Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.

Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.

Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunisaidia mimi kijana wenu.
Huna hela au huna nguvu
 
Mm nishakuwa kama ww miaka kadhaa nyuma sema nilichogundua mazoea mabaya sana ndo yanayofanya nishindwe kufikia lengo ila kwasasa nimegundua mbinu moja nayo ni kutafuta dawa ya kukata nyege ukiacha mafuta ya taa..
Wakuu kwa anayejua dawa ya kukata nyaege ukiacha mafuta ya taa ashare nasi..
 
Acha uzinzi.
 
Uwamuzi mzuri,nimeamua kufanya hivyo nina mwezi sasa sijatwmbea nje ya ndoa
 
Mm nishakuwa kama ww miaka kadhaa nyuma sema nilichogundua mazoea mabaya sana ndo yanayofanya nishindwe kufikia lengo ila kwasasa nimegundua mbinu moja nayo ni kutafuta dawa ya kukata nyege ukiacha mafuta ya taa..
Wakuu kwa anayejua dawa ya kukata nyaege ukiacha mafuta ya taa ashare nasi..
Paka mkongo nyege zitakatika zenyewe
 
Ah ndoa ndo hatutaki ila

Wakina eva tena

Hapana comrade hii ni too much😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom