Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

Achana na wanawake njoo ulimwengu wa mashangazi..
Ufurahie dunia 😂😂😂😂😂
 
Habari ndugu zangu.

Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena.

Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu zote mwilini, nirekebisha magoti yangu maana nimekuwa mtu wa kufanya mapenzi ovyo.

Pia vyakula nitakavyokula visiwe vya mafuta na chumvi ya viwandanai, nile matunda fresh na maji ya kutosha, nna hakika nitarudi kama zamani nilipokuwa na miaka 15.

Unajua baada ya kutoa shahawa zako kipururu nafsi yako inakuwa na huzuni na kuwaza kujifikiria ya nini sasa umefanya mapenzi, ghafla unakuwa mpole, yote haya yanatokana kwa tamaa za kipuuzi.

Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunisaidia mimi kijana wenu.
Unataka ubake kuku
 
Hats
 
Attachments

  • 20240406_152110.jpg
    20240406_152110.jpg
    81.6 KB · Views: 3

Kumbe mkishakojoa mnajutia eeeh

Usiludie kufanya makosa,

Ludi jitathamn kama utaweza kuishi hivyo otherwise tafuta mwanamke m,Moja na utulie naye kuliko badae uje kasema I wish I knew
 
Kabisa! Mwambie daktari akutafutie dawa za kukufanya uwe "function less ". Vingenevyo tusidanganyane, unajua hiyo ni raha namba one hapa duniani? Raha zinakufanya uumbe mtu, ili dunia ijae.
 
Ahh🤣😂, yupi Sasa ??, Sasa hivi sitaki madem, acha niwe bize na mambo yangu tu.
Una umuhimu gani duniani wewe? Kula soup ya kati wewe,haijalishi unacho au huna.

Penda soup usipende mtu ila mimi nampenda mama yako mdogo usinifuate kwenye hilo,fuata nililokuambia

" piga soup piga soup utoke na shombo,shombo ni afya ya ngozi ya kitafunio maana kitafunwa kitamu sana"
 
Sasa nataka niwe mtu wa mazoezi, yawe ndo mwanamke wangu. Sex sex ina raha pale unapotoa shahawa lakini baada ya hapo ni majuto tu.

Basi nakaribisha mawazo yenu kunisaidia mimi kijana wenu.
Yote yaambatane na kunyofoa kabisa
 
Una umuhimu gani duniani wewe? Kula soup ya kati wewe,haijalishi unacho au huna.

Penda soup usipende mtu ila mimi nampenda mama yako mdogo usinifuate kwenye hilo,fuata nililokuambia

" piga soup piga soup utoke na shombo,shombo ni afya ya ngozi ya kitafunio maana kitafunwa kitamu sana"
Nonsense 🤣😁😂
 
Back
Top Bottom