sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama tatu kwisha habari.
Hii business idea imekaa vp >