Ukipata mizigo hiyo ipo idea unaeza Fanya kama kuupgrade mitumba na kuiuza kwa bei nzuri mfano watu wengi wanaoupgrade mitumba huwa wanatumia bleach kutengeneza Makoti ya jeans,Jins damaged,matshet ya mawingu nk so ukiwa na hizo product unaeza kujinoa kimtindo tafuta video za YouTube za Do it yourself DIY zinazohusiana na hizo Dye utapata idea kibao mzeh