Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

Mapema walokole wanagalagazwa... Ni vile tu waganga na wachawi hawalopoki ovyo........
 
Walokole watagalagazwa asubuhi tu.unawakumbuka wale walikaa airport miezi mitatu bila kusafiri.mchawi anaruka na ungo anytime kuelekea popote duniani tena kwa supasonic speed.wale walifeli vibaya mno
 
Kwenye hayo mapambano yote, walokole tutawaangusha kwa knockout raundi za awali kabisa! Hakuna cha faya, wala nini. Ni vichapo tu kwa kwenda mbele.

Halafu mimi siku hiyo nitaomba kupambana na Gwajima, au Mwamposa! Yaani ni kupiga tu uppercut.
Gwajima ni Msanii hana sifa za kushiriki
 
Walokole watagalagazwa asubuhi tu.unawakumbuka wale walikaa airport miezi mitatu bila kusafiri.mchawi anaruka na ungo anytime kuelekea popote duniani tena kwa supasonic speed.wale walifeli vibaya mno
Walikwambia ni walokole? Wale walisema ni masalia walitokea Kwa (wasabato)
 
Kwenye hayo mapambano yote, walokole tutawaangusha kwa knockout raundi za awali kabisa! Hakuna cha faya, wala nini. Ni vichapo tu kwa kwenda mbele.

Halafu mimi siku hiyo nitaomba kupambana na Gwajima, au Mwamposa! Yaani ni kupiga tu uppercut.
utashanga pale ambapo na wao wakivuta matunguri yao wakiachana na bible,...🤣🤣😂
 
Kuna mtu alipanga chumba katika nyumba ya Mganga, huyo Mganga anapenda kuitwa Sheikh, basi bwana...yule mpangaji alikua anapenda sana kupiga nyimbo za dini ya kikristo.
Kilicho tokea yule Mganga alienda kuchukua diffenda la Polisi na kumtia ndani yule dada, kisa nyimbo zake zinafanya kazi yake inakuwa ngumu au kutokufanyika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…