Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
mbovu sana kwenye imani wewe..Mambo ya Mungu hayana mashindano
Kuna battle kali sana kwenye biblia huko kuna mwamba alitenda miujiza ambayo hata YESU anajiuliza nini hiki😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbovu sana kwenye imani wewe..Mambo ya Mungu hayana mashindano
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Mapema walokole wanagalagazwa... Ni vile tu waganga na wachawi hawalopoki ovyo........
Safi sanaSasa nitakosaje kwa Mfano!
Walikwambia ni walokole? Wale walisema ni masalia walitokea Kwa (wasabato)Walokole watagalagazwa asubuhi tu.unawakumbuka wale walikaa airport miezi mitatu bila kusafiri.mchawi anaruka na ungo anytime kuelekea popote duniani tena kwa supasonic speed.wale walifeli vibaya mno
utashanga pale ambapo na wao wakivuta matunguri yao wakiachana na bible,...🤣🤣😂Kwenye hayo mapambano yote, walokole tutawaangusha kwa knockout raundi za awali kabisa! Hakuna cha faya, wala nini. Ni vichapo tu kwa kwenda mbele.
Halafu mimi siku hiyo nitaomba kupambana na Gwajima, au Mwamposa! Yaani ni kupiga tu uppercut.
Chama cha Wazinzi
Mashindano yapo.Mambo ya Mungu hayana mashindano