Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Watu walewale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walokole ndio waganga na waganga ndio walokole stukaUkipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Hii comment imefikirisha na kunichekesha kwa wakati mmoja.Mapema walokole wanagalagazwa... Ni vile tu waganga na wachawi hawalopoki ovyo........
Nani anayeshinda?Kila wakati wanapambana ila huoni tu
Wamesha jitokeza kibaohakuna mganga atakubali
Mbona wote ni wa Giza tu?Ni sawa na kusema unataka kukutanisha nuru na giza zikae pamoja.
Duh! Umejitahidi kuwaza mkuu,lkn mi nadhani mashindano yashaanza tayari,humu humu jf,hakuna haja yakuandaa sijui wapi au wapi,we mwenyewe utajionea maoni humu yatakavyo tiririshwa!!,mi huwa najiuliza shetani na mungu ni nani zaidi?najua mungu ndo zaidi,lkn utakuta maeneo hayo asilimia 90 shetani ndo azungumziwa zaidi,why!!!Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Wote ni waganga wanaoganga njaa iliyoko tumboni na kichwaniUkipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Nisaidie namba yake anitengeneze. Mambo yangu hayaendiBibi yangu ni mganga koma koma unijulishe mapema nimualike kwenye mpambano halafu Bibi pambano lakeliwe maalumu na mwamposa tu
usishindanishe wachungaji sijui mitume, wanashinda kwa waganga, tafuta underground hao waganga watatoka kamasi nakuambiaWamesha jitokeza kibao
Underground nao wameshinda kwa waganga ili watokeusishindanishe wachungaji sijui mitume, wanashinda kwa waganga, tafuta underground hao waganga watatoka kamasi nakuambia
Dini zote zinashindana nanshetani miaka nenda rudi na wamemshindwaDuh! Umejitahidi kuwaza mkuu,lkn mi nadhani mashindano yashaanza tayari,humu humu jf,hakuna haja yakuandaa sijui wapi au wapi,we mwenyewe utajionea maoni humu yatakavyo tiririshwa!!,mi huwa najiuliza shetani na mungu ni nani zaidi?najua mungu ndo zaidi,lkn utakuta maeneo hayo asilimia 90 shetani ndo azungumziwa zaidi,why!!!
Hapana mkuu, kuna mganga nilimtoa Nduki mwaka juzi tu hapoUnderground nao wameshinda kwa waganga ili watoke
Wengi tutaacha imani za melikebuHao wachawi,waganga waje uwanjani wapambane na ma pastor, mapadre ,maaskofu ili baada ya matokeo ya wazi sisi raia tutaamua tumfuate nani maana matokeo yanaongea
Ilikuwaje?Hapana mkuu, kuna mganga nilimtoa Nduki mwaka juzi tu hapo
Utanitag mkuuUkipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.