Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

nguvu zipo tena zipo acha kuwa kipofu. nenda kwenye kilinge cha mganga wa kienyeji ukojolee uone ? .... ila kuna nguvu kubwa kuliko nguvu zote nayo ni nguvu ya JEHOVAH GOD wewe unafikirii kipindi kile cha misri waliamini yupo Mungu mpaka alipofanya makubwa ndio waliona wakafunguka macho
Hawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na mali
 
Hawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na mali
Hawa wa kwetu wanaigza hawana iman zaid ya kusaka pesa na mali
ndio ni kweli wapo ma scammer ila tambua scammer anatumika na gIza kwa malengo ya giza japo wao hawajielewi na kuna wale ambao wanajijua kabisa ambaye ukidanganya anasema pita kwenye madhabau hapo ...kama unadanganya moto unakumeza kabisa ila vyote vinatumika na Mighty Mighty God iwe goods or bads
 
hiyo vita hawawezi kukubali wanajua walichokitana nacho waganga wa enzi za Eliya
hata darknes nao wana nguvu kwa kuwa kila kitu kinafuata sheria moja the stronger will conquer the weaker



nenda halafu uwe weaker ndio utajua hujui
 
watu humu hawajui tunavozungumzia darkness ila bila Jesus blood ooooh wangetumaliza zamani ..kabla ya mwaka mpya nitakuja na bandiko kuhusu darkness na mission zao katika mfumo wetu wa dunia
 
Ukimaliza huo andaa na pambano la wale wasioamini Mungu wala Uchawi

Wachawi na Waganga Vs wasioamini Mungu wala Uchawi
 
Waganga fake na wachawi fake ndio wanaoweza wakakubali,waganga halisi na wachawi halisi hawawezi wakakubali kitu kinachokwenda kuwaletea hasara kubwa pengine hata kifo kabisa,hata walokole halisi hawawezi wakakubali kwa kuwa itakuwa ni sawa na kumjaribu Mungu wakati Mungu huwa hajaribiwi.
 
Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.

Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.

Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.

Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
Kwenye hayo mapambano yote, walokole tutawaangusha kwa knockout raundi za awali kabisa! Hakuna cha faya, wala nini. Ni vichapo tu kwa kwenda mbele.

Halafu mimi siku hiyo nitaomba kupambana na Gwajima, au Mwamposa! Yaani ni kupiga tu uppercut.
 
Sie waganga wa kienyeji msituweke kwenye kundi moja na wachawi sie tunatambuliwa na mungu toka enzi za nabii nuhu
 
Walichinjwa na huyo nabii eliya..Sasa swali linakuja..Kwanini manabii hawataki battle na waganga na wachawi ikiwa mganga ametangaza battle na hakuna aliejitokeza
Ni nguvu za MUNGU watu mia 4 unazani hapa?
 
Back
Top Bottom