Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Nimelinda clubs na kwenye masherehe. Pombe siyo dili kama unavyofikiria. Nilikua nimeenda kulinda sherehe moja hivi Kuna jamaa alikunywa kila bia aliyoiona baadaye akaanza kulia na kupiga kelele huku anazunguka ukumbi mzima "NIPHIRENIIII, NIPHIRENIIII"

Jiangalie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Kuna Dada jirani na kwangu anazinywa aiseeeee, analewaa njwiiiii, hadi anafungiwa kwenye boda anarudishwa nyumbani.
Akisikia mkojo sasa hajali yupo wapi anashusha nguo anaumwagaa waaa. Ukimkuta hajanjwa ni mzuri sana ila akishakunywa ni balaa.
Halafu ana mume na watoto aisee, na huyu mume ndio alimfundisha pombe, sasa hivi anajuta.
Maskini mpaka huruma.
 
Ya nini kunywa pombe kunywa banana changanya na daimond mbili pamoja na konyagi glass mbili inatosha kujifunzia hadi kiingereza
 
Mkuu hizo bia kuna siku zitakuja kukutia hasara, nakushauri anza na Kvant chupa ndogo.
Zingatia: nyama/kitimoto kwa wingi kabla na wakati unakunywa.
Ukizingatia hilo haki ya Mungu nakuapia hicho kiingereza cha kilevi utakisikia kwa wanywa bia,wewe hakitakuhusu.
Karibu chamani, tunywe kwa amani.
Ankooo 🙆
 
Dah...inategemea na sababu pamoja na kipato chako....ikiwa ni kutaka kuzungumza kiingereza pata Safari baridiii....kuondoa udomo zege Balimi inafaa sana...kama ni kuongeza CV bia za nje ndiyo zenyewe...Cha msingi ni bajeti yako tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwambie bia akitaka aaibike anywe shujaa, hapo atalala mpaka barabarani
 
Niko bar nimeagiza Bavaria ya kuanzia.
 
Bavaria sio pombe mkuu na soda ya kiwango kingine.

Kunywa Baltika uzoee ile ladha then unakuja kunywa Serengeti lite.

Angalizo: Baltika pia sio pombe
Mkuu mimi niko kwenye process ya kupunguza pombe, kuna mtu alinambia nenda taratibu tumia bavaria utazoea na utaacha (yeye pia kwa maelezo yake anasema kilimsaidia sana kuacha) hvi ni kizuri? Ladha yake ni beer? Kipo classic sana hiki
 
Wana Chitchat habari ya mchana

Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners'

Asanteni karibuni sana wana chitchat.
Eagle
 
Wana Chitchat habari ya mchana

Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners'

Asanteni karibuni sana wana chitchat.
Me naona tafuta tu starehe nyingine..... Nakushauri tu
 
Back
Top Bottom